Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ni njaa tu huyu jamaa akitulia ni mtu wa maana sanaZitto mbona alishaungana na ccm !
Angewauliza Kirundi wamgezizima "turammenyaa!!"Ziara za mh zimepooza sana na hazina mvuto.Nimeangalia hapa anawauliza wananchi nani anamjua mpango?wananchi hamna hata mmoja aliyeitikia au kunyosha mkono hadi akaona aibu akanyamaza tu
Mkuu huoni kazi anyoifanya Mama Samia?Ndio, vyombo vya dola vipo vitahakikisha mama anaendelea ila sio kwa kura maana wananchi wamelipuuza box la kura.
Lazima isimamiwe vyema na mkuu wa nchi.Hata Tz tusingekuwa na Rais, bado miradi ingekuwepo. Miradi ni kodi za wananchi na haihitaji hata uwepo wa Rais. It is too cheap kumpima Rais Samia kwa miradi iliyopo sasa, infact hata kama kigezo cha uongozi wake kiwe ni miradi, obvious Samia ataonekana amefeli vibaya. Kwanini? Miradi mingi mikubwa bado imelala, haitekelezeki au imejaa upigaji wa kiwango cha kutisha.
Mkuu huoni kazi anyoifanya Mama Samia?
Nothing special.Majenereta yamezimwa sasa ni gridi ya taifa tu.
Lazima isimamiwe vyema na mkuu wa nchi.
Pesa zikitafunwa na majenereta yasipowaka mnasemaNothing special.
Pesa zikitafunwa na majenereta yasipowaka mnasema
Zitaliwa vipi na miradi inatekelezwaKwani hapo pesa haziwezi kutafunwa?
Zitaliwa vipi na miradi inatekelezwa