Lazima kuangalia itakuwa na umuhimu upi?. Tazara mfanyabiashara gani atapanda?. Ona ilivyokuja fast jet wafanyabuashara wengi toka Zambia walikuwa wamaijaza zile ndege za fastjet. Kuna baadhi ya msimu mpaka alikuwa anakodi ndege zingineMbeya tazara inawatosha
Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa.
Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa.
#SHH2025/30
#MamaMaendeleo.
View attachment 2189448
Not for life,for all eternityKatiba inayoleta kikwazo cha limit ya miaka 10 kwa Rais Mzalendo anaejituma haifai …kwa kuwa Rais anapigiwa kura kila baada ya miaka mitano tukimchoka tutampiga chini kwny kura sio kutunyima haki na fursa ya kuongozwa nae
kina Profesa Rwekaza Mukandala kwny Kamati yao warekebishe hiki kifungo
Samia for life
Tuliaminishwa ujenzi wa madaraja ni kitu pekee sana.Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa.
Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa.
#SHH2025/30
#MamaMaendeleo.
View attachment 2189448
na Pohamba
Hizi ni taarifa mkuu, mwendazake angeenda pale akaanza kutukanana na makandarasi, akaweka ndani mainjinia, TV zote zikaitwa, halafu akajifanya eti yeye alipoingilia kati ndio likaisha, mara nyingi alikuwa anaweka mazingira ya 10 prcentsasa kelele si ndio hizi mkuu
Mkuu....Tunamshukuru Samia kwa hisani hii ya kujitolea kutujengea daraja.
Miradi mipya??Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa.
Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa.
#SHH2025/30
#MamaMaendeleo.
View attachment 2189448