Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

Mbeya tazara inawatosha
Lazima kuangalia itakuwa na umuhimu upi?. Tazara mfanyabiashara gani atapanda?. Ona ilivyokuja fast jet wafanyabuashara wengi toka Zambia walikuwa wamaijaza zile ndege za fastjet. Kuna baadhi ya msimu mpaka alikuwa anakodi ndege zingine
 
Katiba inayoleta kikwazo cha limit ya miaka 10 kwa Rais Mzalendo anaejituma haifai …kwa kuwa Rais anapigiwa kura kila baada ya miaka mitano tukimchoka tutampiga chini kwny kura sio kutunyima haki na fursa ya kuongozwa nae

kina Profesa Rwekaza Mukandala kwny Kamati yao warekebishe hiki kifungo

Samia for life
Not for life,for all eternity
 
ila binadamu bwanaa.
Maendeleo ya kwenu
Utekaji wa muenda zake
 
sasa kelele si ndio hizi mkuu
Hizi ni taarifa mkuu, mwendazake angeenda pale akaanza kutukanana na makandarasi, akaweka ndani mainjinia, TV zote zikaitwa, halafu akajifanya eti yeye alipoingilia kati ndio likaisha, mara nyingi alikuwa anaweka mazingira ya 10 prcent
 
Kumbe yupo Wami anaunga Daraja ?

Mbona kuna jamaa aliniambia yupo USA ?, Dunia hii kumbe watu waongo sana... Huyu mama atakuwa mchapakazi sana hadi kuamua kuunga daraja mwenyewe...
 
Kumbe yupo Wami anaunga Daraja ?

Mbona kuna jamaa aliniambia yupo USA ?, Dunia hii kumbe watu waongo sana... Huyu mama atakuwa mchapakazi sana hadi kuamua kuunga daraja mwenyewe...
Utaelewa tu
 
Tunamuombea Sana kwakua kashashika dhamana hata yukibwabwaja haileti maana
 
Ripoti ya CAG ina madudu ya JPM, madaraja ya wami, busisi, tanzanite, SGR n.k vya SSH. RIP JIWE
 
Ripoti ya CAG ina madudu ya JPM, madaraja ya wami, busisi, tanzanite, SGR n.k vya SSH. RIP JIWE
Jiwe hawezi ku RIP, ameacha makelele na vilio vingi, mkapa na Nyerere huwezi kusikia wanasemwa vibaya
 
Zaidi ya uwepo wa ajali na uhatari wa ajali, daraja la Wami lililopo sasa halikuwahi kuwa kikwazo cha usafiri baina ya Dar na mikoa ya kaskazini...

Tuache kusifia sifia sana bila takwimu...
 
Back
Top Bottom