Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

Haya mambo yana siri kubwa wasanii wangapi wamevuma pengine vipaji vyao ni vikubwa mno kuliko diamond ila hafuwasikii wakivuma tena hapo ndio diamond anakwambia waambie chocho nilizopita kufika hapa nikiwaonyesha ili wawe kama Mimi au zaidi hawataweza
Anyway in short iko hivi: Mimi hapa nilipo najua ( siyo kwamba naamini bali najua) kuwa pasipo kizingiti cha mtu yeyote yule mpumbavu katika maisha yangu, nina brain inayoweza kufanya makubwa kama yale aliyowahi kufanya Mh. Reginald Mengi (RIP), au hata zaidi ya hayo.
Mbali na hilo naamini pia (hapa sijui; ila naamini) kuwa mtu yeyote mwenye brain, pasipo vizingiti vya jitu jingine lolote lile lipumbavu, anaweza kufanya makubwa zaidi ya haya niliyoyasema hapa.
 
Kuna watu hawaamini ili haya mambo tunakutana nayo sana na ili kukwepa mishale ndio unajikuta huko kwa wataalamu
Lakini madhara ni makubwa kuliko faida.Bora ubakie njia kuu.utajiri bila amani ni mateso.
Zipo siri za utafutaji, ulinzi, kuepuka mikosi na mabalaa,kuvuta bahati, kupata ukitakacho ambazo si lazima uende ukajiunganishe au kuingia mkataba utakaokutesa kesho.Ni kuzijua tu siri za dunia na uumbaji.
 
Lakini madhara ni makubwa kuliko faida.Bora ubakie njia kuu.utajiri bila amani ni mateso.
Zipo siri za utafutaji, ulinzi, kuepuka mikosi na mabalaa,kuvuta bahati, kupata ukitakacho ambazo si lazima uende ukajiunganishe au kuingia mkataba utakaokutesa kesho.Ni kuzijua tu siri za dunia na uumbaji.
Ziweke hizo siri mkuu
 
Profit margin ya biashara yoyote legal haiwezi kuzidi 25% ya sales turnover..

Sasa hapo haujatoa risks, interests and the likes. Huwezi kupata mil 200 kama circulation yako ni chini na 1bn. Nazungumzia kama unafanya biashara na sio utapeli au rushwa..
Bakia hapo hapo na mawazo yako mgando.
 
Alafu muandika thread anakazia. “ Anajua kuna watu watambishia lakini huo ndio ukweli”.. Serious kabisa jf expert member...😂😂😂.
Hamna ukweli wowote. Unachokisema ni optional.
Sisi watu wazima na tunapitia vingi na tuna ndugu zetu wa karibu pia.
Usilete hadithi za wachaga wachache ukajumlisha wote😂😂😂
 
Katika kitu nakubaliana na wewe ni hapo kwenye tabia, asikwambie mtu tabia na utamaduni wa mtu ama familia na ndugu zake zina mchango mkubwa sana katika kufanya wafanikiwe ama wafeli.

Omba sana Mungu akupe tabia zinazolinda maendeleo yako na akuepushe na ndugu au watu wa karibu wenye mambo ya kukuangusha.
Katika Afrika yetu ya kusaidiana kindugu, unaweza jikuta unabeba majukumu kibao ambayo ni mzigo kwako kisa tu kuna ndugu ambao hawafanyi wapaswacho kufanya kwenye maisha yao.
Kwamba hawatimizi wajibu wao na wamebweteka? Wameharibu maisha yao kwa mikono yao wenyewe?
 
Mzee wa fasihi unaweza ukamiliki pesa nyingi bila ndumba mfano fanya biashara ya real estate jiingize biashara za kuuza viwanja utapata b za kutosha, panda miti eka 20 au zaidi baada ya miaka 12 utapata b za kutosha.
Wewe una b ngapi? Au ndiyo wale wale?[emoji23][emoji23]
 
Siku ukiingia kwenye sekta ya michezo hasa mpira wa hapa bongo utajua ni Kwa kiwango gani Watanzania ni washirikina..

Nilikuwa pale Morogoro, vitiku tuu vya mchangani, kwenye kombe la Mbuzi au kushidania milioni moja, huwezi amini timu zinaenda Kwa Waganga wa kienyeji.

Wadau wa mpira watakuja kukueleza,
Sasa Mkuu kwenda kwa waganga ni kuuchungulia mlango wa jera? Hoja yako haina mashiko
 
Back
Top Bottom