Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna wakati huwa napenda kusoma kiswahili chako na mada zako ila kwa hili nakupinga sana sana
Inaonekana wewe mwenyewe hujiamini kama unaweza kufika huko au kuzipata hizo hela bila ndumba na uchawi mnaouhisisha kwa kila utajiri
Biashara zipo zinazoingiza mpaka 4m kwa kila bidhaa iliyoingia nchini
Sasa kwa mda wa miaka kadhaa imeingia 200 x 4,000,000 ni 800m
Sasa hizo zikipatikana kwa uchawi upi maana ni kununua polepole na kusafirisha na baadae kusubiri zifike na kuuzwa tu
Faida 4m na hiyo ni biashara moja tu bado zingine za ndugu pia ni kama hizo
Usikariri maisha au kukaa sana na masikini wa akili jaribu kuwa na watu waliopata kiasi na sio majizi
Hela zipo biashara zenye faida kubwa zipo nyingi ila ni kupata maarifa kidogo tu na Mungu akikujaalia mbona rahisi tu