Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

Anyway in short iko hivi: Mimi hapa nilipo najua ( siyo kwamba naamini bali najua) kuwa pasipo kizingiti cha mtu yeyote yule mpumbavu katika maisha yangu, nina brain inayoweza kufanya makubwa kama yale aliyowahi kufanya Mh. Reginald Mengi (RIP), au hata zaidi ya hayo.
Mbali na hilo naamini pia (hapa sijui; ila naamini) kuwa mtu yeyote mwenye brain, pasipo vizingiti vya jitu jingine lolote lile lipumbavu, anaweza kufanya makubwa zaidi ya haya niliyoyasema hapa.
 
Kuna watu hawaamini ili haya mambo tunakutana nayo sana na ili kukwepa mishale ndio unajikuta huko kwa wataalamu
Lakini madhara ni makubwa kuliko faida.Bora ubakie njia kuu.utajiri bila amani ni mateso.
Zipo siri za utafutaji, ulinzi, kuepuka mikosi na mabalaa,kuvuta bahati, kupata ukitakacho ambazo si lazima uende ukajiunganishe au kuingia mkataba utakaokutesa kesho.Ni kuzijua tu siri za dunia na uumbaji.
 
Ziweke hizo siri mkuu
 
Bakia hapo hapo na mawazo yako mgando.
 
Alafu muandika thread anakazia. β€œ Anajua kuna watu watambishia lakini huo ndio ukweli”.. Serious kabisa jf expert member...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hamna ukweli wowote. Unachokisema ni optional.
Sisi watu wazima na tunapitia vingi na tuna ndugu zetu wa karibu pia.
Usilete hadithi za wachaga wachache ukajumlisha woteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwamba hawatimizi wajibu wao na wamebweteka? Wameharibu maisha yao kwa mikono yao wenyewe?
 
Mzee wa fasihi unaweza ukamiliki pesa nyingi bila ndumba mfano fanya biashara ya real estate jiingize biashara za kuuza viwanja utapata b za kutosha, panda miti eka 20 au zaidi baada ya miaka 12 utapata b za kutosha.
Wewe una b ngapi? Au ndiyo wale wale?[emoji23][emoji23]
 
Sasa Mkuu kwenda kwa waganga ni kuuchungulia mlango wa jera? Hoja yako haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…