Kazi kuu za dini ni mbili tu, kusifu na kuabudu

Kumsifu na kumuabudu nani?

Mbona unaleta topic inayokuzidi kila kitu, halafu unaichangia kiwepesi hivi? Kuwa makini, utadharirika...au ngoja twende ili ujione ulivyo.

umeongelea Kuheshimu mamlaka? Wewe umeielewaje hiyo? Tofautisha kati ya mamlaka na waliopo kwenye mamlaka.

Kumbuka, waliopo kwenye mamlaka wamekabidhiwa tu, wanaweza wakapokonywa sababu ya wao pia kushindwa kuheshimu mamlaka waliyopewa.

Walipo kwenye mamlaka wana wajibu, katahitaji heshima basi watambue kuwa respect is earned.

Sikumbuki wakati wowote katika dhehebu nililopo kuwahi kufundishwa huu uongo wako uliouleta hapa.

Kama Dini (nilipo) ingekuwa inafundisha hayo uliyoyaandika basi wasingekuwa wanafundisha Psychology na Theology, haya Masomo ni Misingi ya Uasi, challenge, ku aporeciate, kufumua, kuunda.. unam question hadi Mungu, na uwepo wake, dhamira yake na viumbe wake, ndiyo ikawe hao waliokabidhiwa Mamlaka?

Indoa Porijo zako hapa, usidhani tupo bungeni ambapo unaweza ukaongea chochote na wenzako wakakusifu na kukuabudu.

Kafi Ka Ndope!!
Kaka, kwani haya makanisa hayakiwepo wakati wa Herode , Kaiser, ukoloni, wakati wa Nyerere, wakati wa Mwinyi, wakati wa Mkapa, wakati wa Kikwete na wakali wa Magufuli?
 
H
Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo kazi ya dini ni kuabudu na kusifia ukubwa na uzuri wa Mungu na Serikali kwetu.

Kama serikali za wakoloni zilitoka kwa Mungu je serikali za Africa na Tanzania kwanini ziwe tofauti huko makanisani na misikitini? Ni lini vitabu vyetu vya dini viliandikwa upya kuondoa maneno hayo? Kama watanzania tuliweza kuimba mapambio na kupiga vinubi kuwasifia viongozi wa serikali za wakoloni ambao walikuwa wanatupora mali zetu kupeleka kwao iweje iwe vigumu kuwaimbia viongozi wetu wanaosambaza maji, umeme, shule, hospitali kwa wananchi wao?

Dini hizi ni social construction tu, ndio maana Kuna mataifa kama China dini hizi sio sana lakini mambo yao hayakwami. China hakuna misikiti na makanisa na ufufuo na uzima lakini China ni taifa kubwa sana kwenye uso wa dunia. India dini kuu ni Hindu lakini India ni taifa kubwa duniani.

Hoja yangu, nyumba za ibada zifanye kazi ya kuimba na kuabudu tu na kazi ya siasa na haki ibaki kwa wabunge, serikali na mahakama. Ilikuwa hivyo zamani na ibaki hivyo hata Leo kwa ustawi wa jamii yetu.

Kumtishia mkuu wa nchi kuwa utakufa, utaugua, utaanguka, nk kwenye nyumba za ibada ni kutumia dini vibaya.. Ukweli hatima ya mahubiri kama hayo itategemea na akili na busara za Rais na waliomzunguuka. Usisahau kuwa askofu na sheikh ni raia pia.
Hata shetani ana malmka zake duniani,sio kila mamlaka za kidunia zilitoka kwa Mungu hizo za kikoloni nila nyingine hizo ni za kishetani, kwa Mungu hakuna mamlaka kandamizi na hakuana maana kuheshimu mamlaka kandamizi
 
Akil
Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo kazi ya dini ni kuabudu na kusifia ukubwa na uzuri wa Mungu na Serikali kwetu.

Kama serikali za wakoloni zilitoka kwa Mungu je serikali za Africa na Tanzania kwanini ziwe tofauti huko makanisani na misikitini? Ni lini vitabu vyetu vya dini viliandikwa upya kuondoa maneno hayo? Kama watanzania tuliweza kuimba mapambio na kupiga vinubi kuwasifia viongozi wa serikali za wakoloni ambao walikuwa wanatupora mali zetu kupeleka kwao iweje iwe vigumu kuwaimbia viongozi wetu wanaosambaza maji, umeme, shule, hospitali kwa wananchi wao?

Dini hizi ni social construction tu, ndio maana Kuna mataifa kama China dini hizi sio sana lakini mambo yao hayakwami. China hakuna misikiti na makanisa na ufufuo na uzima lakini China ni taifa kubwa sana kwenye uso wa dunia. India dini kuu ni Hindu lakini India ni taifa kubwa duniani.

Hoja yangu, nyumba za ibada zifanye kazi ya kuimba na kuabudu tu na kazi ya siasa na haki ibaki kwa wabunge, serikali na mahakama. Ilikuwa hivyo zamani na ibaki hivyo hata Leo kwa ustawi wa jamii yetu.

Kumtishia mkuu wa nchi kuwa utakufa, utaugua, utaanguka, nk kwenye nyumba za ibada ni kutumia dini vibaya.. Ukweli hatima ya mahubiri kama hayo itategemea na akili na busara za Rais na waliomzunguuka. Usisahau kuwa askofu na sheikh ni raia pia.
Akili za kijinga kabisa Tena zakuudhi hasaaaaa!
Dini isifundishe kuacha dhambi?
Dini isifundishe kutenda mema?
Dini isikemee mabaya?
Dini isisaidie wenye taabu?
Dini isipatanishe wanaogombana?
Dini isisaidie huduma mf afya nk?
Dini isiombee viongozi wa nchi?
We sio hata wakujibiwa wewe ni wakuonewa huruma na kuombewa kwa kuwa mtu mzima lkn fikra zakitotooo kijinga😭
 
Kaka dini hizi ni mali ya wageni, kama kiongozi ataingia madarakani kwa msaada wa dini au wazungu kamwe hawezi kuwa kama Ibrahim Traore au Duma Boko wa Botswana.
Na akiingia kwa msaada wa waarabu atakuwa kama Bin Salman au King Faisal?

Asimi Goita, Ibrahim Traore na Jenerali Tchiani unadhani walichukua nchi kwa ushawishi au nguvu zao bila msaada kutoka nje?
 
H

Hata shetani ana malmka zake duniani,sio kila mamlaka za kidunia zilitoka kwa Mungu hizo za kikoloni nila nyingine hizo ni za kishetani, kwa Mungu hakuna mamlaka kandamizi na hakuana maana kuheshimu mamlaka kandamizibona

Akil

Akili za kijinga kabisa Tena zakipumbafu hasaaaaa!
Dini isifundishe kuacha dhambi?
Dini isifundishe kutenda mema?
Dini isikemee mabaya?
Dini isisaidie wenye taabu?
Dini isipatanishe wanaogombana?
Dini isisaidie huduma mf afya nk?
Dini isiombee viongozi wa nchi?
We sio hata wakujibiwa wewe ni wakuonewa huruma na kuombewa kwa kuwa mtu mzima lkn fikra zakitotooo kijinga😭
Hayo yote ni kusifu na kuabudu na Kila Moja ya hayo yana malipo yake kwa Mungu kama ukiyafanya au ukiayaacha.
 
Na akiingia kwa msaada wa waarabu atakuwa kama Bin Salman au King Faisal?

Asimi Goita, Ibrahim Traore na Jenerali Tchiani unadhani walichukua nchi kwa ushawishi au nguvu zao bila msaada kutoka nje?
Mkoloni wako wa zamani hawezi kukusaidia ujikomboe kifikra na kiuchumi. Bila shaka msaada huo hautoki ufaransa, ubelgiji, ureno, uingereza wala Italy.
 
Hayo yote ni kusifu na kuabudu na Kila Moja ya hayo yana malipo yake kwa Mungu kama ukiyafanya au ukiayaacha.
Mwanasiasa akiua asiambiwe kitu na asikatazwe kwasababu itakuwa ni kuingilia siasa??
vipi akiiba,akiteka,akinyanyasa nk?
Jiepushe kutetea ujinga maana kufanya hayo ni kuchochea uovu
 
Mbona wakiwaua majambazi wanaowaibia hamsemi? Mbona walipokuwa wakipigana na Idd Amini dadaa hamkusema mwacheni tu makanisa yataomba aondoke? Unapata muda wa kuabudu na kuzaa kwasababu serikali inakamata na kuua watu waliotaka kuzuia wewe usiabudu na kuzaa kwa utulivu. Huwezi kulinda raia wema bila kukamata na kuua raia na wageni waovu.
 
Mwanasiasa akiua asiambiwe kitu na asikatazwe kwasababu itakuwa ni kuingilia siasa??
vipi akiiba,akiteka,akinyanyasa nk?
Jiepushe kutetea ujinga maana kufanya hayo ni kuchochea uovu
Hawa wote wakati wa akina Herode, Kaiser na Farao wangeshakuwa marehemu. Hata wakati wa serikali ya mkoloni wangekatwa vichwa. Hata wakati wa Mwl Nyerere wangehama nchi kama yule mwenzao wa Cyprus. Wakati wa Mkapa wangeitwa malofa na wakati wa Magufuli wangeambiwa wanawashwa.
 
Una uelewa mdogo sana kuhusu dini.
Waacha hizo, dini haina mambo mengi ni kusifu na kuabudu Mungu na Serikali. Tiini mamlaka iwe ya kidikteta, kijamaa Wala ya kidemokrasia. Hapo zama wakati dini zinazaliwa Serikali zote duniani zilikuwa zikipatikana kwa njia ya upanga na mapigano. Pamoja na hayo vitabu vyao bado vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu hata zile zilizopatikana kwa mcha ya upanga. Dini zisituvuruge alooo.
 
Mkoloni anakunyang'anya aridhi alafu ukifika kanisani,mtumishi anasema msiwadhulu wakabidhini kwa bwana bwana atapigana nao kwa niaba yenu.huu ni ujinga
 
Askofu akiumwa waumini mnachanga akatibiwe, muumini akiumwa tunaambiwa toa sadaka uombewe Bwana Yesu anaponya. Pumbaveee.
 
Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo kazi ya dini ni kuabudu na kusifia ukubwa na uzuri wa Mungu na Serikali kwetu.

Kama serikali za wakoloni zilitoka kwa Mungu je serikali za Africa na Tanzania kwanini ziwe tofauti huko makanisani na misikitini? Ni lini vitabu vyetu vya dini viliandikwa upya kuondoa maneno hayo? Kama watanzania tuliweza kuimba mapambio na kupiga vinubi kuwasifia viongozi wa serikali za wakoloni ambao walikuwa wanatupora mali zetu kupeleka kwao iweje iwe vigumu kuwaimbia viongozi wetu wanaosambaza maji, umeme, shule, hospitali kwa wananchi wao?

Dini hizi ni social construction tu, ndio maana Kuna mataifa kama China dini hizi sio sana lakini mambo yao hayakwami. China hakuna misikiti na makanisa na ufufuo na uzima lakini China ni taifa kubwa sana kwenye uso wa dunia. India dini kuu ni Hindu lakini India ni taifa kubwa duniani.

Hoja yangu, nyumba za ibada zifanye kazi ya kuimba na kuabudu tu na kazi ya siasa na haki ibaki kwa wabunge, serikali na mahakama. Ilikuwa hivyo zamani na ibaki hivyo hata Leo kwa ustawi wa jamii yetu.

Kumtishia mkuu wa nchi kuwa utakufa, utaugua, utaanguka, nk kwenye nyumba za ibada ni kutumia dini vibaya.. Ukweli hatima ya mahubiri kama hayo itategemea na akili na busara za Rais na waliomzunguuka. Usisahau kuwa askofu na sheikh ni raia pia.
Umeandika vizuri wenye akili watakuelewa
 
gwajima ameenda mbali zaidi hadi kurikodi video akiwa anazini na muumini kupitia uaskofu wake wa mchongo 🐒
 
Back
Top Bottom