kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Kwani Bwana Yesu alikufaje? Dini na Serikali ni vitu 2 tofauti sana. Dini ni abstract (fikirishi) wakati serikali ni real (halisi). Yaani serikali ni vitu vya kweli na tangible. Watu wanataka maji, matibabu, shule kutoka kwako Leo Leo, lakini dini unasubiria majibu kutoka mbinguni hata yasipokuja tutaendelea kusubiri milele. Kifupi dini ni utoto.Una uelewa mdogo sana kuhusu dini.