Kazi kuu za dini ni mbili tu, kusifu na kuabudu

Kaka, kwani haya makanisa hayakiwepo wakati wa Herode , Kaiser, ukoloni, wakati wa Nyerere, wakati wa Mwinyi, wakati wa Mkapa, wakati wa Kikwete na wakali wa Magufuli?
 
H
Hata shetani ana malmka zake duniani,sio kila mamlaka za kidunia zilitoka kwa Mungu hizo za kikoloni nila nyingine hizo ni za kishetani, kwa Mungu hakuna mamlaka kandamizi na hakuana maana kuheshimu mamlaka kandamizi
 
Akil
Akili za kijinga kabisa Tena zakuudhi hasaaaaa!
Dini isifundishe kuacha dhambi?
Dini isifundishe kutenda mema?
Dini isikemee mabaya?
Dini isisaidie wenye taabu?
Dini isipatanishe wanaogombana?
Dini isisaidie huduma mf afya nk?
Dini isiombee viongozi wa nchi?
We sio hata wakujibiwa wewe ni wakuonewa huruma na kuombewa kwa kuwa mtu mzima lkn fikra zakitotooo kijinga😭
 
Kaka dini hizi ni mali ya wageni, kama kiongozi ataingia madarakani kwa msaada wa dini au wazungu kamwe hawezi kuwa kama Ibrahim Traore au Duma Boko wa Botswana.
Na akiingia kwa msaada wa waarabu atakuwa kama Bin Salman au King Faisal?

Asimi Goita, Ibrahim Traore na Jenerali Tchiani unadhani walichukua nchi kwa ushawishi au nguvu zao bila msaada kutoka nje?
 
H

Hata shetani ana malmka zake duniani,sio kila mamlaka za kidunia zilitoka kwa Mungu hizo za kikoloni nila nyingine hizo ni za kishetani, kwa Mungu hakuna mamlaka kandamizi na hakuana maana kuheshimu mamlaka kandamizibona

Hayo yote ni kusifu na kuabudu na Kila Moja ya hayo yana malipo yake kwa Mungu kama ukiyafanya au ukiayaacha.
 
Na akiingia kwa msaada wa waarabu atakuwa kama Bin Salman au King Faisal?

Asimi Goita, Ibrahim Traore na Jenerali Tchiani unadhani walichukua nchi kwa ushawishi au nguvu zao bila msaada kutoka nje?
Mkoloni wako wa zamani hawezi kukusaidia ujikomboe kifikra na kiuchumi. Bila shaka msaada huo hautoki ufaransa, ubelgiji, ureno, uingereza wala Italy.
 
Hayo yote ni kusifu na kuabudu na Kila Moja ya hayo yana malipo yake kwa Mungu kama ukiyafanya au ukiayaacha.
Mwanasiasa akiua asiambiwe kitu na asikatazwe kwasababu itakuwa ni kuingilia siasa??
vipi akiiba,akiteka,akinyanyasa nk?
Jiepushe kutetea ujinga maana kufanya hayo ni kuchochea uovu
 
Mwanasiasa akiua asiambiwe kitu na asikatazwe kwasababu itakuwa ni kuingilia siasa??
vipi akiiba,akiteka,akinyanyasa nk?
Jiepushe kutetea ujinga maana kufanya hayo ni kuchochea uovu
Mbona wakiwaua majambazi wanaowaibia hamsemi? Mbona walipokuwa wakipigana na Idd Amini dadaa hamkusema mwacheni tu makanisa yataomba aondoke? Unapata muda wa kuabudu na kuzaa kwasababu serikali inakamata na kuua watu waliotaka kuzuia wewe usiabudu na kuzaa kwa utulivu. Huwezi kulinda raia wema bila kukamata na kuua raia na wageni waovu.
 
Mwanasiasa akiua asiambiwe kitu na asikatazwe kwasababu itakuwa ni kuingilia siasa??
vipi akiiba,akiteka,akinyanyasa nk?
Jiepushe kutetea ujinga maana kufanya hayo ni kuchochea uovu
Hawa wote wakati wa akina Herode, Kaiser na Farao wangeshakuwa marehemu. Hata wakati wa serikali ya mkoloni wangekatwa vichwa. Hata wakati wa Mwl Nyerere wangehama nchi kama yule mwenzao wa Cyprus. Wakati wa Mkapa wangeitwa malofa na wakati wa Magufuli wangeambiwa wanawashwa.
 
Una uelewa mdogo sana kuhusu dini.
Waacha hizo, dini haina mambo mengi ni kusifu na kuabudu Mungu na Serikali. Tiini mamlaka iwe ya kidikteta, kijamaa Wala ya kidemokrasia. Hapo zama wakati dini zinazaliwa Serikali zote duniani zilikuwa zikipatikana kwa njia ya upanga na mapigano. Pamoja na hayo vitabu vyao bado vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu hata zile zilizopatikana kwa mcha ya upanga. Dini zisituvuruge alooo.
 
Mkoloni anakunyang'anya aridhi alafu ukifika kanisani,mtumishi anasema msiwadhulu wakabidhini kwa bwana bwana atapigana nao kwa niaba yenu.huu ni ujinga
 
Mkoloni anakunyang'anya aridhi alafu ukifika kanisani,mtumishi anasema msiwadhulu wakabidhini kwa bwana bwana atapigana nao kwa niaba yenu.huu ni ujinga
Askofu akiumwa waumini mnachanga akatibiwe, muumini akiumwa tunaambiwa toa sadaka uombewe Bwana Yesu anaponya. Pumbaveee.
 
Umeandika vizuri wenye akili watakuelewa
 
gwajima ameenda mbali zaidi hadi kurikodi video akiwa anazini na muumini kupitia uaskofu wake wa mchongo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…