Kwani Bwana Yesu alikufaje? Dini na Serikali ni vitu 2 tofauti sana. Dini ni abstract (fikirishi) wakati serikali ni real (halisi). Yaani serikali ni vitu vya kweli na tangible. Watu wanataka maji, matibabu, shule kutoka kwako Leo Leo, lakini dini unasubiria majibu kutoka mbinguni hata yasipokuja tutaendelea kusubiri milele. Kifupi dini ni utoto.Una uelewa mdogo sana kuhusu dini.
. Uwezo gani unaozungumzia???Ndiyo uwezo ulikoishia?
Amesahau kuwa yeye ni raia tu kama wegine, kuvaa collar nyeupe Kila mtu anaweza kuvaa. Amewateka watu ambao akiwaamuru wamtukane Rais watamtukana, akiwaamuru walale kanisani wanalala, akiwaamuru wamuogeshe watamuogesha. Hii sio sawa,gwajima ameenda mbali zaidi hadi kurikodi video akiwa anazini na muumini kupitia uaskofu wake wa mchongo π
Dini inahiraji serikali lakini serikali haihitaji dini kutimiza majukumu yake. Askofu ni raia pia inaehitaji umeme, shule, ulinzi, barabara nk. Lazima wawe na adabu kwa serikali sawa na wengine tu. Hii habari ya huyoo huyooo mchinjeee mchinjeee kwa Rais inapunguza Kasi ya serikali kuwahudumia wananchi. Wanatuudhi sisi wote.Duh aiseee