Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
15k for few posts😦 Wewe ni mwizi🤔Hapo kwenye 1500 iwe 15,000 am in
Umesema kwa siku not posts.15k for few posts😦 Wewe ni mwizi🤔
Kazi ilivyoJitahidi kuongeza Sifuri Moja itapendeza zaidi.
Bando la 500 linatosha 😶Kwamba niweke bando la 1500, ili nifanye kazi masaa matano, then nulipwe 1500.
Your maths ain't mathing. F@ck you, and have a nice day!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mbona mnamfokea mwajiri [emoji23][emoji23]
Yaan achukue hata mwanae tumpumbavu wewe, tafuta ndugu yako wa karibu umpe hiyo kazi
Mimi sio boss😑 ila DmNimeelewa, naomba kazi boss
No. Hii sio utani.Mods Thread ipelekwe jukwaa la utani
Ila kwa ndugu za wenzio ni kubwa eti eh? Dharau ya kishenzi kabisa hii! Mxxxxhhi!Ndugu yangu kasema hii hela ndogo kwake[emoji45]
Umetangaza kazi, au unatafuta sponsor!? Maana akununulie bundle na akufanyie kaziKAZI INATUMIA AROUND 300MB
-Malipo ni sh1500/- kila jioni baada ya kazi kwa njia ya Mpesa/Airtelmoney/Tigopesa.
Dm Kama upo interested
Kamoooon sheikhKazi ilivyo
-Nakupa content unapost then nakupa hela kazi ya 300 mb max unataka 15k bro come on