Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Wabongo tupo vizuri.Mimi sio bossπ ila Dm
Am interested nipe mawasaliano yako kakaNB. Kazi hii imelenga kuwapa nafasi wasio na kazi kabisa, au yoyote mwenye muda wa ziada
Mtu mmoja anahitajika kuendesha mitandao ya kijamii.
*Uwe na smartphone/computer
*Uwe na uwezo wa kua online angalau masaa 5 kila siku
*Uwe na uzoefu wa kutumia mitandao ya kijamii
*Ukifahamu lugha ya kiingereza una advantage
&KAZI INATUMIA AROUND 300MB
-Malipo ni sh1500/- kila jioni baada ya kazi kwa njia ya Mpesa/Airtelmoney/Tigopesa.
Dm Kama upo interested
WowKaka mambo so mambo huku
Kwamba "yamepanda kichwani" sio...π€£π€£Hiyo hela si yakununua tu mihogo na chachandu?
Thamani ya muda wa 5 hours kwa Tshs 1500?
Mkuu hebu jaribu kupima malaria kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mods Thread ipelekwe jukwaa la utani
Hii ni ajira ili upate mshahara wa hasara sio faida.Hata kama ajira zmekua ngum sikiivo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni ajira ili upate mshahara wa hasara sio faida.
Yaani unapewa ajira ili utumie hela zako kwenye kazi za muajiri wako.
[emoji1787][emoji1787]
Fackin jobNB. Kazi hii imelenga kuwapa nafasi wasio na kazi kabisa, au yoyote mwenye muda wa ziada
Mtu mmoja anahitajika kuendesha mitandao ya kijamii.
*Uwe na smartphone/computer
*Uwe na uwezo wa kua online angalau masaa 5 kila siku
*Uwe na uzoefu wa kutumia mitandao ya kijamii
*Ukifahamu lugha ya kiingereza una advantage
&KAZI INATUMIA AROUND 300MB
-Malipo ni sh1500/- kila jioni baada ya kazi kwa njia ya Mpesa/Airtelmoney/Tigopesa.
Dm Kama upo interested
Vichaa wamehamia jf.hahaha noma sana
Huyu mwajiri fallar sanaJamani mbona mnamfokea mwajiri ππ
Eti sir? Au saa mbovu1500 masaa 5? Come on Sir!