Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.

Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au wafanyabiashara ikome. Utu utamalaki, kazi ni utu, utu ni kazi.

Kila mtu anastahili kuheshimiwa utu wake, ndio katiba inasema hivyo.
 
Vipi kuhusu Bashite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…