Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)

Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
nipashetz~p~Cfx-uwvDI5s~1.jpg

DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi

Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana

Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
 
Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)

Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028

Hayo si msaada bali ni sehemu ndogo sana ya kodi zetu wakazi wa Temeke hivyo hatuhitaji kumshukuru mtu yeyote.
 
Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)

Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi

Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana

Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
Unene haujawahi kumuacha mtu salama,naona uzuri kushnei,sasa hivi kimebakia kidoti tu.....
 
Mimba yake inakuhusu nn ww fuata uchapa kazi wake basi maswala ya mahusiano ya mtu ni kuingilia mambo binafsi ya mtu...

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
 
Alaumiwe aliyemteua.
 
Alaumiwe aliyemteua.
Aliyemteua hana analopoteza, sisi anaotuongoza huyu DC ndio tukatae tabia za aina hii sabb madhara yake ni mengi kwetu si kwa aliyemteua ifike mahali sisi tunaoongozwa tuweke viwango vya kuwa kiongozi au anayetaka kutuongoza awe mtu wa tabia njema akiona hilo ni gumu aache uongozi akafanye anavyotaka yeye.
 
Back
Top Bottom