Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Labda kafunga ndoa kisirisiri na Kijana tajiri Vunjabei...
 
Wema sepetu yeye mayai yake aliamua kukaanga chipsi

Hongera mkuu wa wilaya kwakujazwa tunasubiri ndoa sasa
 
Ndio maana huwa nasema Lulu ana akili na heshima kuliko wengi. Kuzaa nje ya ndoa kwa kiongozi ni laana. Narudia ni laana. Kashindwa nini kufunga ndoa na kuweka wazi ndoa yake. Atawaambia nini wanafunzi wetu na vijana kimaadili. Mama Samia teua mtu mwingine bana huyo NEI NEI BABHUCHE.
 
Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Wewe umejuaje kwamba hajaolewa?? Nipe tafsiri ya ndoa kwanza
 
Back
Top Bottom