Tunamjadili mtu kiongozi, maisha na mwenendo/tabia yake kama kiongozi..kati ya yaliyomo kwenye kiapo chake ni tabia, hulka na maisha yake wakati akiwa kiongozi..hivyo si kupoteza muda kumjadili, lkn hata huo muda hunipi wewe..tunamkosoa kwa kitendo cha kuwa mjamzito bila kuwa na mume wa ndoa ilihali yeye ni kiongozi, ameshindwa kuwa mfano mzuri kwa anaowaongoza na hivyo amepoteza sifa ya kuendelea kuwa kiongozi..!usilete ubabaishaji wako kuhamisha lengo la kile tunakosoa.Unapoteza muda kumjadilii mtu na maisha yake. Unaendekeza uswahili ule ule wa kushambulia uja uzito wa mtu mzima. Very Pathetic.