Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Utaishia na maumivu yako kwa awamu yote ya sita iwapo SSH ataendelea kumuamini Jokate. Hateui malaika anateua binadamu.Nilisema hapo awali hakuna mtu anajihesabia haki..na kumwambia mtu amekosa si kujihesabia haki, hiyo mifano uliyotoa yote haifanani na hii ya DC, mfano ukifuata viwango vya kupata viongozi marekani, pengine jokate wala asingekuwa DC..kuna tofauti kubwa sana kati ya jamii ya wamarekani na sisi africa..kwa kesi ya Daud na Suleiman vzr ukitambua kwanza kuwa kati ya watu kwenye Biblia waliokuwa na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa ni mfalme Daudi, hata hivyo hilo kosa alilofanya la zinaa na mke wa Uriah Mungu alimwadhibu, Suleiman hakuoa wake 1000 kwa ajili ya matamanio ya mwili (zinaa) alifanya hivyo kwa lengo, hivyo haikuwa kosa sabb ilimsaidia kwenye utawala wake..kila mtu anakosea, kwa kiongozi..ukiona umewakosea unaowaongoza kwa maana ya kutunza heshima ya kazi/nafasi uliyokuwa nayo na kuonyesha heshima kwa uliokuwa unawatumikia vyema kuachia hiyo nafasi waje wengine, kiongozi hapaswi kuwa na kiburi na dharau, kuendelea kuwa hapo ilihali umekosa ni kuonyesha kiburi na dharau kwa unaowaongoza.