ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Mwanafunzi akipata uja uzito wanamfukuza shule!Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Having said that, kahisi umri unakwenda lakini angefunga ndoa japo ya mkataba!