Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

Pamoja na huyu bidada kuwa vizuri upstairs, amekuwa na udhaifu katika upande wa mahusiano. Sikuwa namuona kama aina ya binti wa kuchafuliwa chafuliwa na hawa kina Kibamia, mara Mondi, mara Ngongoti..
Na sasa kaangukia 'madukani'.
 
Na mzigo juu
 
Mwambie aache uongozi akaishi anavyopenda..kodi yetu hatutaki ilipe viongozi wa aina ya matendo yake..kwa hiyo hujui kodi tunayolipa inatusaidia nini na wajibu wetu ni nini kwa viongozi..hujui?
Unavyoandika utadhani ni mlipa kodi kweli. Mo Dewji na Bakhresa waseme nini kama wewe unapiga makelele humu jukwaani!.

Potezea ujinga huo.
 
Unavyoandika utadhani ni mlipa kodi kweli. Mo Dewji na Bakhresa waseme nini kama wewe unapiga makelele humu jukwaani!.

Potezea ujinga huo.
Wewe ni mpumbavu mpenda bure na kiburi cha maskini hohe hahe..ni kawaida yako kutetea ujinga siku tutalazimisha kuutoa huo ulevi na kuvimbiwa kunakotokana na kodi yetu akili itakusogea..km hao uliowataja kodi yao inatosha, waambie wanaokutuma waondoe PAYE tuone km utaendelea kuleta matapishi hapa..
 
Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Huenda hii ndio fashion, Shake well before use,
Nandi naye anaolewa keshokutwa akiwa na mimba tayari.
 
Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Wivu tuu unatala ukonjigate peke yako... unadhani DC yeyee hapendi uzi wa Rick boy
 
Back
Top Bottom