Yeye jokate ana nini? Kwa hiyo alizaliwa na kitu cha pekee kinachomfanya lazima awe kiongoz hata km amekosea..akimtoa watz watakosa nini? Wangapi wanabeba mimba bila kuolewa hatusemi? ina maana hamuelewi kwa nini tunasema! Kama jamii haiwezi kukemea ujinga wa aina hii kwa viongozi, mambo gani itaweza kukemea..halafu kiburi cha kutetea kiongozi ametoka nje ya mstari kinatoka wapi? hiyo ni dharau sisi hatuitaki! Unataka uongozi fanya tunavyotaka sisi..ulevi, mimba nje ya ndoa, wizi,ufisadi..hatutaki! Na tumekosa maendeleo sabab ya ujinga wenu wa kutetea mambo ya aina hii na dharau kwamba watanifanya nini..tukiendelea kukalia kimya ujinga km huu ipo siku mtatupanda kichwani mfanye choo..
DAS wake kisarawe si alitolewa uDAS sabb ya kutongoza wafanyakazi wenzie..kwa hiyo mimba ya nje ya ndoa kwa DC ni sawa, ila kutongoza wafanyakazi si sawa..wapi mstari kuonyesha hili ni sawa kwa kiongozi na hili siyo sawa, au tunajiendea tu km kundi la nyumbu..hakuna order.