Hayo si msaada bali ni sehemu ndogo sana ya kodi zetu wakazi wa Temeke hivyo hatuhitaji kumshukuru mtu yeyote.Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
Na angekuwepe Mwendazake,lazima wabongo wangemuangushia Jumba bovu kua huo Mzigo wa Joketi ni wake!!Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Mimba yake inakuhusu nini wewe fuata uchapa kazi wake basi maswala ya mahusiano ya mtu ni kuingilia mambo binafsi ya mtu...Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana? tafakari bila hasira.
Unene haujawahi kumuacha mtu salama,naona uzuri kushnei,sasa hivi kimebakia kidoti tu.....Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
View attachment 2285028
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone hii na atoe credits zake. Mabilioni yanakuja tuu ni baraka tele.
Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..Mimba yake inakuhusu nn ww fuata uchapa kazi wake basi maswala ya mahusiano ya mtu ni kuingilia mambo binafsi ya mtu...
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kwani hauoni picha??Siku hizi imekuwa ni vigumu kumuona Jokate Ofisini kwake,nina malalamiko kuhusu kero za hawa TARURA.
Alaumiwe aliyemteua.Kuongoza ni kuonyesha mfano..utakuwaje na mimba hujaolewa halafu wewe ni kiongozi, kwa nini mtu akiwa mlevi anapoteza sifa ya kuwa kiongozi..ulevi siyo jambo binafsi? Mfano, wewe uko tayari upande gari inaendeshwa na mlevi au mvuta bangi? Uongozi ni heshima, hivi jamii ya watz ina matatizo gani? Halafu kila siku maadili yameshuka ndiyo maana tuna panya road, hao panya road wanatoka wapi? Kama sio kwenye tabia km hizi za kupeana mimba bila kuoa au kuolewa..
Sio mimba tu tuhesabie dhambi zake zingine zote, ukimaliza zitaje na za kwakoMkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
DISII Mzinifu, inasikitisha sana.Mkuu wa wilaya kuwa na mimba bila ndoa ni ujumbe gani kwa vijana???? tafakari bila hasira.
Aliyemteua hana analopoteza, sisi anaotuongoza huyu DC ndio tukatae tabia za aina hii sabb madhara yake ni mengi kwetu si kwa aliyemteua ifike mahali sisi tunaoongozwa tuweke viwango vya kuwa kiongozi au anayetaka kutuongoza awe mtu wa tabia njema akiona hilo ni gumu aache uongozi akafanye anavyotaka yeye.Alaumiwe aliyemteua.