Gaddo alikuwa anachora viponzo vya Magufuli kila wiki. Acha uongoMagufuli walikuwa wanamuogopa ndio maana alijifanyia atakavyo huku majority ya Watanzania walikuwa kimyaaa...haha nimejaribu kuichunguza hii tabia nikafikia kusema labda inatokana na historia yetu ya utumwa na ukoloni.
Tunampenda mtu anayetukandamiza WHY?!
We are very weak mentally.