Kazi nzuri ya Gado katika katuni Rais Samia

Gaddo alikuwa anachora viponzo vya Magufuli kila wiki. Acha uongo
 
Tafsiri ya picha: ni bunge, waandishi wa habari, vyama vyenye maridhiano vipo mfukoni mwa huyo aliyewabeba, na kawabeba kama vifurushi vya maridhiano, waarabu wapo pembeni wanagonga cheers. Tafsiri yangu, sijui wenzangu
 
gado ni mtoto wa sinza a ni bro wetu mtaani kenya yupo kikazi,,. kwa ujumla kuna TETESI dola milioni 500 hazijulikani zipo wapi.ZA MKATABA WA BANDARI
Ndio zimetumika hongo na safari za wale wote wanaotetea huu mkataba(Machawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…