Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Yes. Ni kikosi ndani ya jeshikumbe askari Wa Kenya wanavaa kombati
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Sorry nimepotokaHata mimi ambaye sijawahi ishika hiyo AK 47 naweza fanya nayo kitu kweli...tuwe na iman na walinzi wetu bhna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu!Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233
Sent using Jamii Forums mobile app
in voice of TanzaniansNaomba niwe mkweli.Askari wa kenya hasa wa kitengo cha usalama ni wa kulaumiw na wawajibike.Kwa nini? Kenya imekuwa ikipatwa na matukio yanayofanana kwa maumbile lakini kazi yao imekuwa kuokoa, kupunguza badala ya kuzuia.Askari kenya wanatakiwa wazuie mauaji kwa kuwabaini wahalifu sio kupambana uwanja wa vita.Wakenya amkeni na si kupiga propaganda za kuokoa wakati watu wengi wanaangamia.Wakenya jifunzeni kwa askari wa Tanzania kwani wanafanya kazi kwa weledi mkubwa wa kutulinda disi watanzania dhidi ya hao washenzi.Nawapogeza askari wa Tanzania na kuwapa pole raia wa kenya.
mwambie al Shabbab mbali.Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Kwaiyo kwa akili zako unaona hilo la wananchi kuongea tu uko kwenye mitandao kwamba kuna usalama ni sababu tosha zakuwafanya watalii watoke uko kwao watembelee kenya.Usalama wa nchi za wenzetu kuhusu wananchi wao ni jambo la msingi sana kuliko hizo porojo unazozitoa uko kwenye mitandao.Wananchi wa kenya kusema hakuna tatizo haimaanishi huo ndo ukweli wakumfanya mtu kwenye akili timamu aamini wakati tukio limetokea dhahiri.Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Sijui Mmarekani anajiskiaje??? Kawaambia Raia wake Tanzania siyo Salama kuna Matishio ya Ugaidi wakaona Nairobi ni salama yakawakuta. Hakika Mzungu sio Mungu!!!
Akili zako ni KB hazifiki hata GB ulojipa kwahiyo haziwezi kuelewa posts za watu wenye uelewa wa TB standard kaaa kimia tuKwaiyo kwa akili zako unaona hilo la wananchi kuongea tu uko kwenye mitandao kwamba kuna usalama ni sababu tosha zakuwafanya watalii watoke uko kwao watembelee kenya.Usalama wa nchi za wenzetu kuhusu wananchi wao ni jambo la msingi sana kuliko hizo porojo unazozitoa uko kwenye mitandao.Wananchi wa kenya kusema hakuna tatizo haimaanishi huo ndo ukweli wakumfanya mtu kwenye akili timamu aamini wakati tukio limetokea dhahiri.
Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).Wee wanawezajee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wao wanachoweza sana kutia pingu tuu hapo wangekufaa kama kuku...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ndie Mmarekani? mbona unatoa povu utadhan UmberRutty yuko Kisutu! Nenda kasome upya page za Us Embassy urudi tena.Ni wapi alisema tanzania si salama? Haya mambo huyajui au ulisimuliwa vibaya. Na watu wenye akili wanapotoa tahadhari magaidi nao huangalia nao wafanyeje... Alisema east afrika na afrika si salama.
Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyoo hivyo Vikosi sio Polisi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ni Makomandooo...Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).
Hata bongo kunakikosi cha CRT kipo vizuri sana.Acha kudharau vitu kama hujui vilivyo mo ndani yake.Rejea kilicho tokea pale lGarisa,ndio utajua polisi wapo vizuri..KDF walienda wakasurrender ila polisi waliobobea mapigano ya kwenye majengo ile kazi waliifanya kwa muda mfupi tu.
5/5.
Wewe hata hujui kitu unaongea!Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.