kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
umesahau watu karibu 200 wamefariki hivi karibuni huko ukara, kisa tu kiza kimeingia.
Ni kwa sababu serikali yao iko friendly kiasi chake na wananchi ... sasa huku raisi wenu anawaambia wazi wazi kuwa atawapiga shangazi zenu"... hivi ukiona mwananchi anaichukia serikali hiyo utamlaumu !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu kibiti na mkuranga mkuu hao wabobezi walienda?
Kulinda raia na kung'ata kunakujaje sasa
Sawa mkuu nmekuelewa lakini mi ninajamaa zangu wanajeshi walipelekwa kibiti toka mwaka Jana February mpaka Leo wapo huko, ndo maana nmeuliza vipi hao askari wabobezi walikuwa wapiNdio maana hujaja na taarifa za kibiti jana wala juzi,ila umekuja hapa baada ya kusikia hizo za kenya.
Wanalipwa kwaajili hiyo " kwahiyo wananchi wana haki ya kupata guard toka kwao .... ni sawa na wewe leo uajiri ulinzi wako binafsi " huo ulinzi utapaswa kuwajibika na kila hali hatarishi ambayo inataka kukufikia ..... tuko pamoja !?Chukia serikali mpaka ukiona unalamba sukari,lakini asikwambie mtu kwa hali kama ile ya jana ukiona polisi kakufuata eneo kama lile lazima ujinyenyekeze kama kuku jike.
Tanzania imebarikiwa amani,ni jambo la kushukuru sana,hayo mengine hakuna nchi ambayo hayapo,tembea uone.
Niende kituon kwani mi kibakio sina au?Ukibakwa usiende kituoni kuripoti maana polisi wakikuona tu watakung'ata,utoke damu.
Maneno murua sana haya!Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Na wewe acha ushamba,toka lini maji ya moto yakaunguza nyumba?Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Sawa mkuu nmekuelewa lakini mi ninajamaa zangu wanajeshi walipelekwa kibiti toka mwaka Jana February mpaka Leo wapo huko, ndo maana nmeuliza vipi hao askari wabobezi walikuwa wapi
Kwani MV Nyerere ilitokea wapi?
Wanalipwa kwaajili hiyo " kwahiyo wananchi wana haki ya kupata guard toka kwao .... ni sawa na wewe leo uajiri ulinzi wako binafsi " huo ulinzi utapaswa kuwajibika na kila hali hatarishi ambayo inataka kukufikia ..... tuko pamoja !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
safi sana wakenya
Kumsifu mtu " anapotenda jambo jema ni sifa ya kiungwana so sipingi katika hiloPamoja na kumuajiri mlinzi na kumlipa bado hainizuii kuona na kusifu na kumtia moyo anapotimiza wajibu wake kwa ufasaha.
Ana uwezo wa kuzembea tu au akalala usiku,kama nitaamua kumfukuza akawa tayari.
RECCE ni kikosi cha police mkuu na sio komando,embu rejea nilicho andika mwanza huenda utanielewa.Kwa hiyoo hivyo Vikosi sio Polisi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ni Makomandooo...
Sasa ndo maana nasema mapolisi hapo wangechapikaa balaaa... Wewe unalionaje hiloo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhasi nimekuelewaa...!! Polisi wenye mafunzo maalumu... Bado point yangu inabaki bila mafunzo maalumu licha ya upolisi wa kawaida hapo ni kisangaa...RECCE ni kikosi cha police mkuu na sio komando,embu rejea nilicho andika mwanza huenda utanielewa.
5/5.
Mkuu naomba mrejesho kuhusu amani huko kibiti then rejea hapa uje uniulize ili swali lako.Vipi kuhusu kibiti na mkuranga mkuu hao wabobezi walienda?