madaili
Member
- Mar 6, 2014
- 32
- 27
Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga.
Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary).
Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800 tshs kwa dakika.
Kama una sikio zuri la ngeli na una mtandao mzuri (kuweza kupokea video au audio tunapokutumia), basi nijulishe.
NB: Hii ni kazi ya part time, sio kazi unayoweza lisha familia. Lakini ukiwa vizuri unaweza kutengeneza mpaka laki 4 kwa mwezi.
Nicheki dm kama unahitaji hiki kibarua.
Kwa mfano wa audio na text iliyokamilika ambayo tulishafanyanayo kazi, angalia attachment.