YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wanajua humu wako watu wengi hivyo mtu hata akitapeli robo wasiojielewa inatoshaIla kwa nini ajira za humu ni za mchongo.
Matapeli huwinda sehemu yenye masses
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua humu wako watu wengi hivyo mtu hata akitapeli robo wasiojielewa inatoshaIla kwa nini ajira za humu ni za mchongo.
Well said aiseeWanajua humu wako watu wengi hivyo mtu hata akitapeli robo wasiojielewa inatosha
Matapeli huwinda sehemu yenye masses
Kweli apate kazi ili dada yake ajibu sms kwa wakatiNatafuta Ajira fursa hii
Hio senky you fo ze tag ni kimatumbi mkuuThank you for the tag Putin
Ngeli sijui
Eti vile ni chotaraThank you for the tag Putin
Ngeli sijui
Eti jamanihivi hakuna software zinafanya hii kazi tena ukizingatia lugha yenyewe ya malkia!.
😂😂😂Hio senky you fo ze tag ni kimatumbi mkuu
Duh mie mbongo bhana 😂Eti vile ni chotara
Na hio lena ni nini Tinsley😂😂😂
Bado learner mie
Usiwahurumie kila siku yanaambiwa hayaelewi .Nasema hivi yaache yatapeliwe tena wayatoboe na spika zao.Wanajua humu wako watu wengi hivyo mtu hata akitapeli robo wasiojielewa inatosha
Matapeli huwinda sehemu yenye masses
Hapa anakutapeli vipi, anakuambia utume hela ndiyo upewe kazi au?Wanajua humu wako watu wengi hivyo mtu hata akitapeli robo wasiojielewa inatosha
Matapeli huwinda sehemu yenye masses
Ofisi zake ziko wapi,mtaa ganiHapa anakutapeli vipi, anakuambia utume hela ndiyo upewe kazi au?
Naona kuload haya mkuu jifunze kiswahili kwanzaKiswahili kinachelea kuload inabidi tuazime maneno ya kingereza
zipo kumbe tena hadi kwa simu zinapatikanaEti jamani
Boss kazi kama hii nilishaga jaribu fanya nahisi ni Mambo ya artificial intelligence kama sikoseiOfisi zake ziko wapi,mtaa gani
Ofisi yake ndio hiyo namba ya simu yake aliyoweka au?