Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

Dhamana kwa ajili ya nini, kwamba nitakimbia na video zao au?

Ama kweli watu tuko wajinga wa kupindukia, kama mtu unatapeliwa kwa njia za kitoto hivi, inashangaza.

Hahaha! Dah! Mkuu hapo kwenye swali la dhamana ni ya nini namna ulivyohoji umenifanya nicheke sana kwa sauti usiku huu.
 
Back
Top Bottom