Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga.

Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary).

Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800 tshs kwa dakika.

Kama una sikio zuri la ngeli na una mtandao mzuri (kuweza kupokea video au audio tunapokutumia), basi nijulishe.

NB: Hii ni kazi ya part time, sio kazi unayoweza lisha familia. Lakini ukiwa vizuri unaweza kutengeneza mpaka laki 4 kwa mwezi.

Nicheki dm kama unahitaji hiki kibarua.

Kwa mfano wa audio na text iliyokamilika ambayo tulishafanyanayo kazi, angalia attachment.

Huwezi kumpata mtu kwa hela hiyo! Hata kima cha chini cha mshara kipo juu zaidi ya mara tatu ya hiyo hela! Hiyo hela ni ya matumizi ya mtu kwa siku moja tu na kwa vitu vya kawaida sana!
 
Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga.

Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary).

Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800 tshs kwa dakika.

Kama una sikio zuri la ngeli na una mtandao mzuri (kuweza kupokea video au audio tunapokutumia), basi nijulishe.

NB: Hii ni kazi ya part time, sio kazi unayoweza lisha familia. Lakini ukiwa vizuri unaweza kutengeneza mpaka laki 4 kwa mwezi.

Nicheki dm kama unahitaji hiki kibarua.

Kwa mfano wa audio na text iliyokamilika ambayo tulishafanyanayo kazi, angalia attachment.
Hizi attachment hazifunguki kiongozi
 
Does it work?
zipo kumbe tena hadi kwa simu zinapatikana

Transcription Software Features
Variable speed playback (constant pitch)

Supports audio and video playback
Supports most audio formats and encrypted dictation files including MP3, M4A, DSS, WAV & more.

Use ‘hotkeys’ for mouse-free playback when transcribing directly into Word or other software

Transcribe dictations, voice notes, hearings, interviews, lectures, movies, songs, and more!
 
Back
Top Bottom