Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

Shukrani Mkuu, kuna mamichongo nafuatilia mzee ikibuma nini taona
Nimehisi utakua vizuri sana, sikujui ila nimesukumwa kuku point...

Njoo PM niambie nini shida nini unafatilia if something i can offer more utakuja huku... karibu.
 
Acha dharau.

Nilianza hizi kazi nikiwa form one kipindi hicho hakuna websites za kudownload nyimbo au video.

Nyimbo ilikua anakupa DJ au mnarip kwa kutumia Ashampoo au Windows Media Player. Nikaifanya nikiwa chuo na nilivyomaliza pia.

Kisha wewe mtoto wa kishua unaamini kila aliye pale hajui kuandika au siyo?
usimchukulie serious mkuu wengine wanatania tu na hata kama wapo wa ivyo sio wote.

mbona hiyo kazi watu wastarabu na wasomi wengi sana wanaifanya.. Mchukulie easy Mkuu.
 
Hiii ni zaidi kwa wakazi wa Dar na Mkrogoro wao wameathiriwa na herufi "L"

Arusha wao Herufi "R"

Wengi ni kuigana ujinga
Arusha hawachanganyi R na L isipokua kila moja inatajwa sehem sahihi na inasikika, arusha hakuna ugonjwa wa kukosea maneno kwa kutamka "sukali, Baiskeri, taperi, Habali" hiyo hamna ni "sukari, Baiskeli, Tapeli, Habari" L na R zinasikika vizuri zikitamkwa, huo ugonjwa upo kanda ya ziwa hasa kwa wakurya na makabila mengine ya mkoa wa mara.
 
Nyimbo ilikua anakupa DJ au mnarip kwa kutumia Ashampoo au Windows Media Player. Nikaifanya nikiwa chuo na nilivyomaliza pia.
umenikumbusha mbali sanaaa, enzi za kutumia ashampoo na ku rip cd za nyimboo..

basi nilikuaga najikuta mwamba,wengi walikua hawaezi kutoa nyimbo kwenye cd iliyo ripped.

wakiweka nyimbo zinasoma zina KB 1 zotee

basi unaskia wanaaambiana Nenda kwa yule Brooo anaweza zitoa hizooo

Nafungua NERO 6 yangu nafanya yangu...ashampoo sijaitumiaga maana wengi huitumia nli ipenda nero
 
Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani.

Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo.

Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa.

Kazi ni Kuingiza Movie kwenye kifaa atakachokuja nacho mteja.

Kupanga Movie kwnye mafaili yake kulingana na mwaka na siku husika.

Usafi wa Eneo lako la kazi na kuhakikisha usalama wa vifaa vyako..

Mshahara : 300,000 kwa mwezi
Muda Wa kuingia 1:00 asubuhi
Muda wa Kutoka : 5:00 usiku

Eneo la Kazi : Dar/Temboni/Mwika Annex.

Kwa atakaesikia hii amtaarifu na mwingine.

Mawasiliano : Inbox
Umeshapata mkuu?
 
umenikumbusha mbali sanaaa, enzi za kutumia ashampoo na ku rip cd za nyimboo..

basi nilikuaga najikuta mwamba,wengi walikua hawaezi kutoa nyimbo kwenye cd iliyo ripped.

wakiweka nyimbo zinasoma zina KB 1 zotee

basi unaskia wanaaambiana Nenda kwa yule Brooo anaweza zitoa hizooo

Nafungua NERO 6 yangu nafanya yangu...ashampoo sijaitumiaga maana wengi huitumia nli ipenda nero
Ebwana acha tu 🤣

Sasa Nero 6 ndiyo ilikua very convenient. Ziliposogea version nyingine zikawa complicated vibaya.

Ashampoo ilibidi nikomae nayo kwakua hizi version mpya za Nero zikawa unstable mno kuliko Nero 6. Unaburn ukimaliza CD inasoma imejaa ila huoni kitu.

Siku hizi mtu anadownload tu 🤣
 
siku hizi nyimbo zinauzika zilipendwa hazipo mtandaoni na nyimbo za dini watu wanazskia ila hawazjui majina kwahyo ukimpgia anasema hiyo hiyo nilikua naitafutaaaa😂
 
Back
Top Bottom