seriously karibu pmNipo mie hapa!! Seriously
Nakuja PM
Nimehisi utakua vizuri sana, sikujui ila nimesukumwa kuku point...Shukrani Mkuu, kuna mamichongo nafuatilia mzee ikibuma nini taona
Wengi huogopa huhisi kazi ngumu ila hii kazi ni very easy and friendly..wale watu indoors wasiopenda onekana walipo hizi ndio kazi za kujificha watu hawajui hata upo wapi.Yap, ni kazi POA bhana, Tena Kama uli piga computer na mdomoni uko vizuri lazina u master chapπ€
Eneo la kazi ni wapi?Wengi huogopa huhisi kazi ngumu ila hii kazi ni very easy and friendly..wale watu indoors wasiopenda onekana walipo hizi ndio kazi za kujificha watu hawajui hata upo wapi.
usimchukulie serious mkuu wengine wanatania tu na hata kama wapo wa ivyo sio wote.Acha dharau.
Nilianza hizi kazi nikiwa form one kipindi hicho hakuna websites za kudownload nyimbo au video.
Nyimbo ilikua anakupa DJ au mnarip kwa kutumia Ashampoo au Windows Media Player. Nikaifanya nikiwa chuo na nilivyomaliza pia.
Kisha wewe mtoto wa kishua unaamini kila aliye pale hajui kuandika au siyo?
Arusha hawachanganyi R na L isipokua kila moja inatajwa sehem sahihi na inasikika, arusha hakuna ugonjwa wa kukosea maneno kwa kutamka "sukali, Baiskeri, taperi, Habali" hiyo hamna ni "sukari, Baiskeli, Tapeli, Habari" L na R zinasikika vizuri zikitamkwa, huo ugonjwa upo kanda ya ziwa hasa kwa wakurya na makabila mengine ya mkoa wa mara.Hiii ni zaidi kwa wakazi wa Dar na Mkrogoro wao wameathiriwa na herufi "L"
Arusha wao Herufi "R"
Wengi ni kuigana ujinga
umenikumbusha mbali sanaaa, enzi za kutumia ashampoo na ku rip cd za nyimboo..Nyimbo ilikua anakupa DJ au mnarip kwa kutumia Ashampoo au Windows Media Player. Nikaifanya nikiwa chuo na nilivyomaliza pia.
kazi nzuri hiyo mkuu, Tena kwa mpenda movie ka kina Poor Brain, Vincenzo Jr, Selikavu, adriz lazima awa bambe wateja coz Wana zijua Kali zipiπ€£πWengi huogopa huhisi kazi ngumu ila hii kazi ni very easy and friendly..wale watu indoors wasiopenda onekana walipo hizi ndio kazi za kujificha watu hawajui hata upo wapi.
siku ingine uwe na akiba ya maneno sasaNakufata PM mkuu hapa hadharani nilishawahi kujidai tajiri
Umeshapata mkuu?Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani.
Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo.
Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa.
Kazi ni Kuingiza Movie kwenye kifaa atakachokuja nacho mteja.
Kupanga Movie kwnye mafaili yake kulingana na mwaka na siku husika.
Usafi wa Eneo lako la kazi na kuhakikisha usalama wa vifaa vyako..
Mshahara : 300,000 kwa mwezi
Muda Wa kuingia 1:00 asubuhi
Muda wa Kutoka : 5:00 usiku
Eneo la Kazi : Dar/Temboni/Mwika Annex.
Kwa atakaesikia hii amtaarifu na mwingine.
Mawasiliano : Inbox
Ebwana acha tu π€£umenikumbusha mbali sanaaa, enzi za kutumia ashampoo na ku rip cd za nyimboo..
basi nilikuaga najikuta mwamba,wengi walikua hawaezi kutoa nyimbo kwenye cd iliyo ripped.
wakiweka nyimbo zinasoma zina KB 1 zotee
basi unaskia wanaaambiana Nenda kwa yule Brooo anaweza zitoa hizooo
Nafungua NERO 6 yangu nafanya yangu...ashampoo sijaitumiaga maana wengi huitumia nli ipenda nero
siku hizi nyimbo zinauzika zilipendwa hazipo mtandaoni na nyimbo za dini watu wanazskia ila hawazjui majina kwahyo ukimpgia anasema hiyo hiyo nilikua naitafutaaaaπEbwana acha tu π€£
Sasa Nero 6 ndiyo ilikua very convenient. Ziliposogea version nyingine zikawa complicated vibaya.
Ashampoo ilibidi nikomae nayo kwakua hizi version mpya za Nero zikawa unstable mno kuliko Nero 6. Unaburn ukimaliza CD inasoma imejaa ila huoni kitu.
Siku hizi mtu anadownload tu π€£
πππππππ₯π₯π₯π₯Vijana kazini..kazi nzuri hiyo mkuu, Tena kwa mpenda movie ka kina Poor Brain, Vincenzo Jr, Selikavu, adriz lazima awa bambe wateja coz Wana zijua Kali zipiπ€£π
acha wehu basi, hata ukinya mama ana upiga mwingi ehhππ€£πππππππ₯π₯π₯π₯Vijana kazini..
Mama anaupiga mwingi
πππππ₯π₯π₯ Nina furaha sanaacha wehu basi, hata ukinya mama ana upiga mwingi ehhππ€£
Naunga mkono hoja kakakazi nzuri hiyo mkuu, Tena kwa mpenda movie ka kina Poor Brain, Vincenzo Jr, Selikavu, adriz lazima awa bambe wateja coz Wana zijua Kali zipiπ€£π