Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 101
- 212
Akifany kaz zote za nyumban utapunguza mawazo?!, Utaacha kutulia Bara?!, utapunguza misongo?!, ni Nooo
Kubwa mwanamke awe mtiifu kwko tu hilo pekee linatosha. Tuondokana na shida kwenye ndoa
Kubwa mwanamke awe mtiifu kwko tu hilo pekee linatosha. Tuondokana na shida kwenye ndoa
Kazi zote za nyumbani ni za mwanamke