Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 101
- 212
Kazi zote za nyumbani ni za mwanamke
HapanaAkifany kaz zote za nyumban utapunguza mawazo?!, Utaacha kutulia Bara?!, utapunguza misongo?!, ni Nooo
Kubwa mwanamke awe mtiifu kwko tu hilo pekee linatosha. Tuondokana na shida kwenye ndoa
Mwanamke ajira yake ni kwa mumeweNa kuajiriwa je?
Nchi za kiarabu ndio wamelifanikisha hiliMwanamke ajira yake ni kwa mumewe
Hapaswi kumhudumua mwanaume mwngne isipokuwa mumewe
Ukumtii mumeo hutaangaika kuwahudumia,ama kuwatumikia wanaume wengine1. Mke kutii: ikiwa wewe ni mke, inatakiwa kusikia sauti ya mume wake hata kama anakipato cha chini au anamapungufu fulani, au ni mwenye dhambi, Unapaswa umtii na ujishushe kwasababu hayo ndiyo maagizo ya Mungu.
2. Mwanaume kupenda: ukimpenda mtu unamuwaza, unamfkiria, unamtendea mazuri na mema, unafanya mambo Kwa ajili yake unamjali, unampa dhamani, Unampa anachostaili, unamsikiliza, na kuheshmu, huo ndo Upendo.
Yalikwama ndio sababu mtu akaoa.Kazi ya mke utelezi, hayo mengine hata kabla ya kuona hayakukwama.
We nae , Mungu alimpa Adamu mke halafu akawanyima ufahamu wa kulana mpaka Nyoka alipowalisha tunda ndio wakajua kulana, unachekesha kasome vizuri.Yalikwama ndio sababu mtu akaoa.
Kama ulioa kwa sababu ya kufanya tendo tuu basi ww hukuoa
Mungu hakumpa adam mke kwakigezo cha kufanya tendo.
Ila kwa sababu ya upweke wa adam
Shetani hakuwalisha tundaWe nae , Mungu alimpa Adamu mke halafu akawanyima ufahamu wa kulana mpaka Nyoka alipowalisha tunda ndio wakajua kulana, unachekesha kasome vizuri.
Andiko ku support hoja?Maana hawa alifanya tendo na nyoka kabla ya mumewe
Ndio maana nimekuambia Mungu hakumpa adam mke kwa ajil ya tendo.We nae , Mungu alimpa Adamu mke halafu akawanyima ufahamu wa kulana mpaka Nyoka alipowalisha tunda ndio wakajua kulana, unachekesha kasome vizuri.
Kizazi kisichoamini na kilichopotokaAndiko ku support hoja?
Kumburudisha mmewe.Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?
Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa,lakini hawajui majukumu ya wake zao.
Wengine wanaishia kuwa na misongo ya mawazo, kushinda bar, kuchanganikiwa na kujiongelesha wenyewe wenyewe; inayopelekea ukuaji wa tatizo la magonjwa ya akili.
Wakuu, nawasilisha.
Kasome mwanzo 2Andiko ku support hoja?
Burudani ya mwanaume haipo kwa mwanamkeKumburudisha mmewe.
Mungu ni nani?Burudani ya mwanaume haipo kwa mwanamke
Mungu aliweka burudani ya mwanaume kwenye kumuabudu Mungu
Isipokuwa wengi huiweka mahali ambapo sipo
Kwenye pombe,umalaya,bangi,mipira uko kotee hakumridhishi mwanadamu isipokuwa uwepo wa mungu kwenye maisha yake
That's what satan have told uMungu ni nani?
Mungu ni binadamu yaani mimi na wewe.
Binadamu akifanya matendo yasiyofaa kwenye jamii anageuka kuwa shetani.
Kwa hiyo Mungu ni binadamu halafu shetani pia ni binadamu. Ukienda mbali utagundua kwamba Whites have Jesus,Arabs have Mohammad and we AFRICANS ours is Saturn.
Vp Wachina na Wkorea kaskazini wao wana muabudu nani na je ndiye aliyewaumba na ndiye anayewapa pumzi ya uhai?
Kwaio ww uliumba ulimwengu?Mungu ni nani?
Mungu ni binadamu yaani mimi na wewe.
Binadamu akifanya matendo yasiyofaa kwenye jamii anageuka kuwa shetani.
Kwa hiyo Mungu ni binadamu halafu shetani pia ni binadamu. Ukienda mbali utagundua kwamba Whites have Jesus,Arabs have Mohammad and we AFRICANS ours is Saturn.
Vp Wachina na Wkorea kaskazini wao wana muabudu nani na je ndiye aliyewaumba na ndiye anayewapa pumzi ya uhai?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi ya mke ni kununa ukichelewa kurudi
Ndoa ni ibada mkuuNdoa zina mambo mengi sana mkuu, kwa nje mtu anaweza kuigiza ana furaha ila kiuhalisia hana furaha