Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

Kazi kuu Ni Minyambuo yani Kunyambuana Mengine Extravaganza ata House Girl atafanya
 
ivi n kwel unataka kujua kaz ya mke?au unaturingishia tuone ivyo vikatun ulivyoweka
 
Jukumu la mwanamke kwa mwanaume ni Personal Assistant. Majukumu ambayo PA anayafanya kwa CEO yanafanana na anayofanya mke kwa mume.

Mwanamke anatakiwa kuwa female version ya mwanaume duniani. Afanye vile vitu mwanaume hawezi fanya kwa niaba yake.

Mfano, kumfariji anapokuwa ameghafirika, kumshauri, kumkumbusha mambo muhimu, kuwa sikio lake pale anapohitaji mtu wa kumsikiliza tension zake, kumpikia na kumuandalia chakula kizuri, kumuuguza akiumwa, kumtunzia Siri na faragha zake, kuongea nae kwa sauti ya kike yenye upole na utii ndani yake, mtunza mali zake, msimamizi wa mali zake pale anapokuwa hayupo, msisimuaji wa mwili wa mwanaume na kumpa raha za kimwili, mbeba uzao wake na kulea watoto wake na warithi wa himaya yake.

Mwanamke ana majukumu hayo kwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…