Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..
Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupambanua mambo.
Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.
Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.
Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)
MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.
MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.
Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kuna watu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.
Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.
MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.
Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.
Sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.