Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

Unazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
We jamaa yaonesha ni mwalimu au ulikuwa mwalimu
 
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasan nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.

Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..

Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupakbanua mambo.

Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.

Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.

Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)

MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.

MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.

Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.

Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kunawatu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.

Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.

MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.

Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.

sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
Ume andika kwa uchungu sanaa mwalimu mwenzangu... Nimi nina miaka minne tu kazini ila hamna nilicho ambulia ila nimesha shtuka nini nifanye kwa sasa... ila kazi hii inakufanya uwe busy na serious kwa ajili ya mambo ya wanafunzi na wakubwa wako kuliko hata mambo yako.. unasahau kufikiria maisha yako unafikiria mambo ya kazi tu...
 
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasan nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.

Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..

Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupakbanua mambo.

Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.

Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.

Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)

MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.

MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.

Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.

Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kunawatu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.

Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.

MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.

Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.

sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
Ila mshahara si ulikuwa unapata..?
 
AEK na MEK ni washenzi sana kazi kutokana walimu hivi sijui wanasomeaga Nini hawa majamaa[emoji51][emoji51] Kuna siku niliona mmoja anachapa fimbo adi wanafunzi
Hao no walimu kotaaluma

Hiko ni cheo tu professionally ni walimu kama nyie.

Siku hizi wanawapa wenye shahada na kuendelea.

Zamani hata wenye cheti walipewa

Anyway utumie ualimu kama daraja tu la kukuvusha unakotaka kwenda sio kazi ya kujivunia hata chembe sababu kubwa ni maslahi duni.
 
Hapana si hivyo.

Hivi hawa wanaoitwa viongozi Elimu wanamamlaga gani ya kukufokea hali akijua hana haki hiyo. Mengine ingia wewe ukakumbane nayo.

Wengi Wana maumivu
View attachment 2513327

Hata hivyo sishangai kuona kundi teteatetea ujinga
Nenda kasome uone kama atakufokea.

Hana huo ubavu wanaofekewa ni grade IIIA pata shahada Yako ma masters uone kama ataleta za kuleta.

Academic arrogance tu inawasumbua
 
Basi UALIMU ni kazi? Ni watu wanaohangaika kutafuta unga tu, na ukiona mwalimu ana maji ya Dasani mkononi anatembea nayo ujue aliitwa kwenye kikao cha platnum wanaotafuta waombaji wa Mikopo
Kiukwel hii kazi ni kujitia kwenye umasikin tu,kumbe kazi ambayo haina marupu rupu na visemina ni mbaya sana
 
Sijui nikuelezeje lakin huwez acha kazi kisa eti una dharauliwa ww ulipata kazi nzuri, wachungaji wa dini wanadharailiwa Sana lakin kwa sababu ya wito hawaachi kazi, nasema hvi usinge kuwa umepata hyo kazi kweli Sasa hv ungekua Bado mwl ,
Alafu dharau ni jinsi wewe unaichukulia mtu akikudharau ukampuuza nothing will affect you,
Lakin akikudharau ukaweka kichwani utaona umedharauliwa ,
Nchi yetu Bado Haina pesa ya kulipa walim kama USA Kule ili uwe mwl lazima kwanza uwe na div 1 yaan bright ndo wanatakiwa kuwa walim,
Sisi uku kwetu Bado , mtu ana div 4 anaenda kufundisha ,
Shukuru Mungu ulipata huo ualim walio kudharau walikua wanakupa changamoto Sasa ilibidi uishide ,

Mimi sio mwl kozi yangu nimemaliza 2016 since now Sija ajiriwa , before sijasoma hii kozi nilitaka nianzishe twishen eneo nililokua nakaa hakukua na kindergarten, nilitaka niombe pale kanisan niweke kindergarten na ningetoboa,.
Sasa ambae angenidharau si ningemcheka tu,

Bahati nzuri nikaenda somea hii kozi,

My dear dharau Ni jinsi wewe unaichukulia kwa hyo wale wanaume wanao tembeza mboga barabarani au sokonj na ni wanaume nao vip ,
Fikilia Wana dharauliwa kiasi Gani ?
Waache kisa dharau,

NB; hakuna kazi isiyo kuwa na changamoto hata apo ulipo Zinakuja au hujazisema
 
Back
Top Bottom