Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji120][emoji17]“Aione Mpwayungu Village “ popote alipo! [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji17]“Aione Mpwayungu Village “ popote alipo! [emoji38]
We jamaa yaonesha ni mwalimu au ulikuwa mwalimuUnazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Ume andika kwa uchungu sanaa mwalimu mwenzangu... Nimi nina miaka minne tu kazini ila hamna nilicho ambulia ila nimesha shtuka nini nifanye kwa sasa... ila kazi hii inakufanya uwe busy na serious kwa ajili ya mambo ya wanafunzi na wakubwa wako kuliko hata mambo yako.. unasahau kufikiria maisha yako unafikiria mambo ya kazi tu...Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasan nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..
Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupakbanua mambo.
Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.
Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.
Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)
MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.
MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.
Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kunawatu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.
Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.
MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.
Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.
sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
soma tena, soma kwa ufahamuUnazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Ila mshahara si ulikuwa unapata..?Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasan nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au baba ake ..." Huyu mtoto anevukaje sekondari Ili hali hajui kusoma vema na kuandika.."..na tuifanye nini..
Nilifurahia Sana mzazi anapotoa sababu...na Kwa kuwa lengo ni Moja tu ajue kusoma na kuandika na kupakbanua mambo.
Nilifurahia na kuifanya kazi Kwa moyo.
Suala la mtoto kupita sekondari hajui si kosa la mzazi bali yule mwalimu wake wa shule ya awali na msingi.
Tatizo ni kwamba mwalimu amechoka, anafanya kazi Muda wote na watoto huku akiishi maisha ya dhiki,dharau na kunyanyaswa na wanaoitwa mwalimu mkuu(msingi) au Mkuu wa shule (sekondari), MEK,AFISA ELIMU (MSINGI NA SEKONDARI)
MIKOANI SIJUI(KWA MAANA YA AFISA ELIMU MKOA NA KATIBU TAWALA WAKE) HAO WANENE SIJUI.
MIMI nimepoteza Muda wangu Kwa dharau na kutojali unyanyasaji kutoka Kwa hawo viongozi.
Ninaamini hata walimu wenzangu yanawakutaa na haya.
Nina Umri wa miaka 25 kazini. Kazi hii ya ualimu nimeifanya yapata miaka 17. Baada ya hapo nikaipata kazi nyingine. Na niseme wazi wazi kama Mungu yupo kunawatu Wana dhambi nyingi na hamtapata nafasi utetezi.
Kazi ya 'Ualimu' imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha! Nimetumia sehemu ya maisha yangu ya kazi nikishuhudia dharau na kutojali na kutuona walimu hatuna thaman kuliko wao MEK na baadhi ya viongozi.
MEK ni Mratibu Elimu Kata.
Mwalimu Mkuu ni Mkuu wa kituo msingi.
Mkuu wa shule ni Mkuu wa kituo sekondari.
sikumbuki Cha maana nilichopata zaid ya kumbukumbu mbaya kutoka kwenye mamlaka. Mwalimu anaambulia kujenga, kununuyusafiri na kusubiri kuinua mgongo. Sijaona kitu kingine. Kwa Sasa naona tofauti katika kazi hii nikiyonayo na kazi pendwa ya ualimu.
Mbona kama umerukia gari kwa mbele mkuu wetu?Unazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Atakua mwalimu wa zamu huyu
Hao no walimu kotaalumaAEK na MEK ni washenzi sana kazi kutokana walimu hivi sijui wanasomeaga Nini hawa majamaa[emoji51][emoji51] Kuna siku niliona mmoja anachapa fimbo adi wanafunzi
Nenda kasome uone kama atakufokea.Hapana si hivyo.
Hivi hawa wanaoitwa viongozi Elimu wanamamlaga gani ya kukufokea hali akijua hana haki hiyo. Mengine ingia wewe ukakumbane nayo.
Wengi Wana maumivu
View attachment 2513327
Hata hivyo sishangai kuona kundi teteatetea ujinga
Ana diploma ya ualimuWe jamaa yaonesha ni mwalimu au ulikuwa mwalimu
Umesoma kwa kukurupuka mwenzetuUnazungumzia ualimu wa ulaya au bongonyoko, hakuna mwalimu anaepewa allowance usitake kuwashika watu masikio hapa, ni mkuu wa shule peke ake anapewa 250000 ya madaraka na majukumu yake
Nimeelewa, she is talking about her current jobsoma tena, soma kwa ufahamu
Basi UALIMU ni kazi? Ni watu wanaohangaika kutafuta unga tu, na ukiona mwalimu ana maji ya Dasani mkononi anatembea nayo ujue aliitwa kwenye kikao cha platnum wanaotafuta waombaji wa MikopoKumbe kuna Mwalimu mkuu na MKUU WA SHULE
Kiukwel hii kazi ni kujitia kwenye umasikin tu,kumbe kazi ambayo haina marupu rupu na visemina ni mbaya sanaBasi UALIMU ni kazi? Ni watu wanaohangaika kutafuta unga tu, na ukiona mwalimu ana maji ya Dasani mkononi anatembea nayo ujue aliitwa kwenye kikao cha platnum wanaotafuta waombaji wa Mikopo