Kazi ya uenezi hakuna mtu anayeiweza kwa CCM ya sasa

Hivi unaelewa maana ya neno kutenguliwa? Huwa hujiulizi kwann mtu huyo huyo aliyetenguliwa kazi A halafu akateuliwa kufanya kazi B anaapa tena?
sio tu kutenguliwa naelewa hata maana kuteguliwa 🐒

hapa si suala la kujiuliza, ni uelewa na ufahamu tu juu ya masuala haya 🐒

huwezi teuliwa kufanya jukumu A kwa kiapo, na kisha ukahamishiwa jukumu F halafu eti ukatumia kiapo kile kile cha jukumu A kutekeleza jukumu F🐒

haipo hivyo...
lazima uape tena kutekeleza jukumu F

Just comon Sense needed 🐒
 
ukiweza kuwa mpinzani Tanzania, inabidi upewe heshima yako. kutetea manufaa ya jamii isiyojitambua ni kazi + plus kupigwa virungu na polisi kila siku, kutishiwa familia na biashara zako. Ni negative sum game.

Mawazo yuko wapi? si aliacha mtoto? kwahiyo ni bora utulie, kuna watu wanaokuhitaji kuliko sisi waTZ tusio na maana
 
Waenezi wa Mama so called "Chawa"na Waenezi wa Chama yupi ni yupi?
 
Akifanya maigizo zaidi ataweza
 
Reactions: G4N
Hahahaaa.... Jamaa ushaikatia tamaa Tz
 
Tunaelekea kwenye anguko la ccm kwa sasa kila wakishika hili linateleza,wanatapatapa kama mfa maji
 
Tunaelekea kwenye anguko la ccm kwa sasa kila wakishika hili linateleza,wanatapatapa kama mfa maji
Nadhani haya mabadiliko yanachochewa na joto la ndani ya chama chenyewe. Kuna mvutano kati ya kundi lililoachwa na marehemu na lile la wenye nchi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…