Kila kazi ina faida na hasarambona hujawaelezea hasara zake, kama kuandaa event na show ibume huku pesa ya msanii ipo palepale?
Kazi inayokuweka karibu sana na Madem, hivyo Ukimwi nje nje.Kila kazi ina faida na hasara
Priority, kama priority yako ni mademu kitakulambaKazi inayokuweka karibu sana na Madem, hivyo Ukimwi nje nje.
Mkuu utakazaaa weee, mwishowe utasalim amri.Priority, kama priority yako ni mademu kitakulamba
Anachokitafuta atakipata,bado ananiuliza nimefikia wapi ππ jiandae twin twende Borabora,nimejaaKila nikikumbuka nacheka sina mbavu!
π
Sisimamii wasanii naandaa event ingawa kuna wasanii kadhaa wamenifuata niwasimamieMkuu,Mimi nimefanya Sana kazi hii na top artists hasa upande wa ku push online since nipo O level..nilikua na Netlabel kabisa ambayo Hadi Sasa Tanzania hakuna..
Hela zipo ila changamoto nyingi Sana,so now Kama unataka umpush msanii Hadi atoke muanze kuingiza Pesa,game tight kiasi gani?nguvu kubwa inawekwa wapi? Radio? TV's au online? Msanii mpya kwenye game unamtambulisha vipi??
Nikajua una management company Kuna mtu Nikupe,hela anayo..Sisimamii wasanii naandaa event ingawa kuna wasanii kadhaa wamenifuata niwasimamie
Naomba kidogoHata mimi hela ninayo
ππ Bad influence wewe!Anachokitafuta atakipata,bado ananiuliza nimefikia wapi ππ jiandae twin twende Borabora,nimejaa