Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kazi yao ni ipi ?Sasa huku ni Ulaya?
Ni utaratibu wa TanzaniaKwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Kwahiyo hawa kazi yao ni Wahamasishaji ! asante kwa TaarifaNi utaratibu wa Tanzania
Mashabiki wa mpira Tanzania wanahitaji kuhamasishwa sana la sivyo hawaendi uwanjani hata kama kiiingilio ni bure
Najua point ya mleta madaNi utaratibu wa Tanzania
Mashabiki wa mpira Tanzania wanahitaji kuhamasishwa sana la sivyo hawaendi uwanjani hata kama kiiingilio ni bure
Yaan ushasema WASEMAJI na bado unauliza kazi yao ambayo umeshaitaja bro uko timamu kweli[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Kwanza hata wakuu wa Wilaya sijui wana kazi gani wakati tayari kuna wabunge πππAfrica kuna upumbavu mwingi na huwa hatuna aibu kufanya mambo kuhalalisha upumbavu wetu.
We jiulize Naibu Waziri Mkuu ana kazi gani ikiwa tayari kuna waziri mkuu au wakuu wa wilaya na mikoa wana umuhimu gani.
Huu ujinga unaanzia juu kabisa.
Ushawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Mkuu wa Wilaya ni Mwakilishi wa Rais na Mbunge ni Mwakilishi wa WananchiKwanza hata wakuu wa Wilaya sijui wana kazi gani wakati tayari kuna wabunge [emoji23][emoji23][emoji23]
mheshimiwa pohamba naona unakinanga chama chako ama kweli yametufika woteUshawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?
ushawahi kusikia Republican wana Chipukizi na umoja wa vijana sijui wa Wanawake ?
Ushawahi kusikia Mwenyekiti wa Wazee wa Jiji la Washington?
Tanzania ni Nchi ya Kipekee sana
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Duuuuh !Ushawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?
ushawahi kusikia Republican wana Chipukizi na umoja wa vijana sijui wa Wanawake ?
Ushawahi kusikia Mwenyekiti wa Wazee wa Jiji la Washington?
Tanzania ni Nchi ya Kipekee sana
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
sio jamaa aliye waambia wamuombe msamaha ayoub wakatiii, mechi iliyo fuata ayoub kayatimba tena.Najua point ya mleta mada
Ni baada ya kuona Ally Kamwe anawaambia mashabiki wa Yanga wavae misuli na wao wana tii.