Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Wasemaji wa team mkuu.Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Kuna idara ya habari ya hizo team. Sema bado inakuwa chini ya meneja.
Usipotoshe