Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
๐๐๐๐mheshimiwa pohamba naona unakinanga chama chako ama kweli yametufika wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐mheshimiwa pohamba naona unakinanga chama chako ama kweli yametufika wote
Waziri MkuuAfrica kuna upumbavu mwingi na huwa hatuna aibu kufanya mambo kuhalalisha upumbavu wetu.
We jiulize Naibu Waziri Mkuu ana kazi gani ikiwa tayari kuna waziri mkuu au wakuu wa wilaya na mikoa wana umuhimu gani.
Huu ujinga unaanzia juu kabisa.
Ujinga tuKwanza hata wakuu wa Wilaya sijui wana kazi gani wakati tayari kuna wabunge ๐๐๐
Maokoto ya RuzukuHebu tusaidie kazi za JOHN MREMA hapo chadema??.
Jikite kwenye madaHebu tusaidie kazi za JOHN MREMA hapo chadema??.
Si kweli , mimi ni mwandishi wa jf tuSi hata wewe ni msemaji wa mbowe wakati chadema ina karibu mwenezi
Siku ya mwisho kila goti litapigwaWaziri Mkuu
Naibu Waziri Mkuu
Waziri wa Uvuvi
Naibu Waziri Uvuvi
Katibu Mkuu Uvuvi
Naibu Katibu Mkuu Uvuvi
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi
Naibu Mkurugenzi wa Idara Uvuvu
Mvuvi mwenyewe yupo baharini anapiga makasia akirudi na Samaki wake alievua kwa nguvu zake anatakiwa alipe ushuru wa kuvua, alipe kodi kwny nyavu wakati ananunua, fuel anayotumia analipa kodi ili kuhakikisha ma Vyeo yote hayo wanakuwa na Gari la kutembelea, dereva na Secretary
ukisia nguvu ya Serikali inatoka kwa Wananchi hii ndio maana yake
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kwani anachofanya msemaji wa timu na mhamasishaji wa chama Kuna utofauti gani?.Jikite kwenye mada
Siasa siyo michezoKwani anachofanya msemaji wa timu na mhamasishaji wa chama Kuna utofauti gani?.
Usijitoe akili wote mnafanana pipa na mfuniko. Juzi mmehamasishwa na Ahmed kumuomba radhi Lakred sijui mlimkosea nini, Jana kawwchomesha tena mnamtukana.Najua point ya mleta mada
Ni baada ya kuona Ally Kamwe anawaambia mashabiki wa Yanga wavae misuli na wao wana tii.
Huyo ni chawa wa Mbowe, hajawahi kua na akili huyo, hata siku moja.Ndio sisi wa kwanza tumeanzisha. Ikiwapendeza nao watatuiga
Kwan mpaka mzungu aanzishe ndo tufuate. Sisi tumeanza wao watafuata
Hapa umebugi ndg yanguKwanza hata wakuu wa Wilaya sijui wana kazi gani wakati tayari kuna wabunge [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukio la Ahmed Ally kuwataka mashabiki wakuombe radhi Ayoub unataka kulifananisha na hamasa ya misuli?Usijitoe akili wote mnafanana pipa na mfuniko. Juzi mmehamasishwa na Ahmed kumuomba radhi Lakred sijui mlimkosea nini, Jana kawwchomesha tena mnamtukana.
Mada nzuri imegeuzwa na wajinga kuwa mada ya kisiasaHuyo ni chawa wa Mbowe, hajawahi kua na akili huyo, hata siku moja.
Yeye anaamini kila kitu kizuri lazima kianzie kwa wazungu.