Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Wasemaji wa team mkuu.

Kuna idara ya habari ya hizo team. Sema bado inakuwa chini ya meneja.

Usipotoshe
 
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Mimi nadhani kanuni zingebadilishwa tu ili kuondoa huu uswahili na u much know wa hawa wasemaji wa sasa wa vilabu.

Na kwenye wachambuzi, iwe hivyo hivyo! Kama hujawahi kucheza mpira wa miguu, usiwe mchambuzi wa mpira.
 
Hao ni wapigaji tu na waganga njaa, hakuna chochote kile wanachofanya chenye manufaa kwa vilabu na kwa kuwa vilabu vyenyewe navyo ni migodi ya wachumia tumbo wamewaweka ili wale nao. That's all.
 
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Kwenye siasa huwa nakukubali ila huku kwenye michezo ni mtupu sana angalia hapo unamtolea mfano alikamwe badala umtaje ahmed Ali
 
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Jibu... Soka letu Kivyetuvyetu....
 
Ushawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?

ushawahi kusikia Republican wana Chipukizi na umoja wa vijana sijui wa Wanawake ?

Ushawahi kusikia Mwenyekiti wa Wazee wa Jiji la Washington?

Tanzania ni Nchi ya Kipekee sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Nimecheka kifala sana aisee ujinga ni mwingi tunaúkumbatia
 
Back
Top Bottom