Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

Africa kuna upumbavu mwingi na huwa hatuna aibu kufanya mambo kuhalalisha upumbavu wetu.

We jiulize Naibu Waziri Mkuu ana kazi gani ikiwa tayari kuna waziri mkuu au wakuu wa wilaya na mikoa wana umuhimu gani.

Huu ujinga unaanzia juu kabisa.
Waziri Mkuu

Naibu Waziri Mkuu
Waziri wa Uvuvi
Naibu Waziri Uvuvi

Katibu Mkuu Uvuvi
Naibu Katibu Mkuu Uvuvi

Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi
Naibu Mkurugenzi wa Idara Uvuvu

Mvuvi mwenyewe yupo baharini anapiga makasia akirudi na Samaki wake alievua kwa nguvu zake anatakiwa alipe ushuru wa kuvua, alipe kodi kwny nyavu wakati ananunua, fuel anayotumia analipa kodi ili kuhakikisha ma Vyeo yote hayo wanakuwa na Gari la kutembelea, dereva na Secretary


ukisia nguvu ya Serikali inatoka kwa Wananchi hii ndio maana yake

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tusaidie kazi za JOHN MREMA hapo chadema??.
 
Sisi tunasikiliza sana zaidi ya vitendo maneno ndo maana wakawekwa
 
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Najua point ya mleta mada

Ni baada ya kuona Ally Kamwe anawaambia mashabiki wa Yanga wavae misuli na wao wana tii.
Usijitoe akili wote mnafanana pipa na mfuniko. Juzi mmehamasishwa na Ahmed kumuomba radhi Lakred sijui mlimkosea nini, Jana kawwchomesha tena mnamtukana.
 
Kisa CCM ina chipukizi ndo chadema iwe na chemchem?
 
Kuna MTU aliuliza kwanini Tanzania Hakuna sikukuu ya Halloween kama marekani??akajibiwa Why marekani hakuna sikukuu ya nanenane kama Tanzania???
 
Usijitoe akili wote mnafanana pipa na mfuniko. Juzi mmehamasishwa na Ahmed kumuomba radhi Lakred sijui mlimkosea nini, Jana kawwchomesha tena mnamtukana.
Tukio la Ahmed Ally kuwataka mashabiki wakuombe radhi Ayoub unataka kulifananisha na hamasa ya misuli?
 
Ungesoma vizuri na ukaelewa barabara mada ya UTAMADUNI darasa la 3,usingehaika leo.Unafananisha Tanzania na Uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…