Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

Sababu ya kulipa ZAKA, ni kulinda kipato changu, AFYA, nk nk.
Kitendo cha kulipa ili kulinda kipato chako hiyo ni biashara.

Mlinzi anakulindia duka lako mwisho wa mwezi unamlipa. Wewe unamlipa nani?
 
Kwa hyo mkuu unamaanisha Kuna wajanja wachache wamegundua dini n dili wakaamua kuingia uko na wameulaa Kwa kisingizio Cha wameitwa kumtumikia BWANA MUNGU cyo [emoji23][emoji23][emoji23]..

Mwakasege nilimsikia Kwenye mahubiri yake akiwambia waumini wake alikuwa mwajiriwa serikalin lkn akaitwa na bwana kumtumikia akaacha kazi nzuri tu now day n Moja wa wahubiri wakubwa Kwa pesa cna uwakikaa km n tajirii km walivyoo hawa wazee wakutupia vinjungaa na matatu alafu hawajaoa ,bac n vurugu tu mjinii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
KAZI ya kuhubiri INJILI inalipa mara 100 hapa duniani,

Na thamani kubwa kuliko zote, ni kuvuna Roho za watu Kwa ajili ya Yesu.

Na yote Kwa yote, utaurithi Uzima wa Milele.

Amen
 
Hujajibu nilichokuuliza
 
Hujajibu nilichokuuliza
Nimekujibu unavyostahili kujibiwa,

Ungeniuliza, ukiamua kulipa ZAKA upeleke wapi, ni gekujibu Kwa ufasaha.

ZAKA Mimi hutoa sawasawa na maelekezo ya Roho MTAKATIFU .
 
KAZI ya kuhubiri INJILI inalipa mara 100 hapa duniani,

Na thamani kubwa kuliko zote, ni kuvuna Roho za watu Kwa ajili ya Yesu.

Na yote Kwa yote, utaurithi Uzima wa Milele.

Amen
Na wajinga mnavunwa haswaa na hao wanaowalaghai na jina la yesu [emoji23]

Pole mkuu
 
Na wajinga mnavunwa haswaa na hao wanaowalaghai na jina la yesu [emoji23]

Pole mkuu
Wajinga na maskini ni wasiolipa ZAKA.

Ndomana madeni magonjwa, misukosuko, chumaulete,hayawaishi, Kila kukicha hospitali na majanga kibao.

Hubiri INJILI Kwa njia zote.
 
Mwenye HAKI ayaishi Kwa Imani.

Hubiri INJILI Kwa Kila njia.

Ubarikiwe.
Hapa ndipo napoona wachungaji wana maisha ya kifahari huku hawafanyi kazi........waumini wao afya zimezorota hawali vizuri......mavazi yao sio nadhifu sana yaani wapo wapo tu kama comedian.............na tena hawa wa makanisa ya kisasa kira kitu kuanzia kanisa mpka sadaka ni za mchungaji nabii na mke wake sio mtu mwingine.........wenyewe waumini wapo tu hata kama wanadanganywa wapo tu.......wanaambiwa wasinywe pombe lakini wachungaji na manabii wao wanalewa kimya kimya..........na hata mchungaji akukute kituoni unasubilia daladala hakupi lifti wakati hilo gari analotambia ulishiriki kikamilifu kulichangia hiliali wewe Huna hata baiskeli ya mkweche..............hamka mtu kutoka usingizini kwa sasa dini ni shamba la bibi...........
 
Ndo sababu Yesu analitaka Kanisa lile la kwanza lirudi mahala pake,

Watu walikuwa wakiumega mkate nyumba Kwa nyumba, sadaka zilikuwa zikitolewa wanapewa maskini na Upendo ulitamalaki.

Tunarudi tulipoanzia Ili Kanisa linyakuliwe.
 
Prich the Gospel,

KAZI hii Ina thamani sana🙏
 
Kwani ndugu wewe ni kuhani au mtume nani ndugu,kwani tupo wengi ukitafuta hata nyau na wow utawakutaaamo😎
 
Ya breach the gossip thiooo🤓
Roho ya mwanadamu Ina thamani kubwa sana mbele za Mungu,

Mungu asema , mtu akinitumikia nitamuheshimu.

KAZI unavyofanya nani akuheshimu? Na hata kama unaheshimiwa, ni Heshima za kinafiki za WANADAMU.

Hubiri INJILI.

Amen
 
NI KWELI LAKINI UWE NA WITO SIO KUTAFUTA MASLAHI
 
NI KWELI LAKINI UWE NA WITO SIO KUTAFUTA MASLAHI
Ni Kweli,

Pia kuifanya KAZI hiyo, Si lazima uwe Mchungaji HAPANA,

Hata Ukiwa mwajiriwa, unaweza kuwahubiri wafanyakazi wenzio na majirani zako unakoishi wakaokolewa🙏.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…