Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa.

Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana.

Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza usimamizi wa shughuli yoyote ya halali.

Natanguliza shukrani nyingi sana, nina mani wadau mtanisaidia.
 
Back
Top Bottom