Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Hizo kazi Kwa Ulaya ndio zinalipa sana, watu wamejenga majumba Africa Kwa hizo kazi.
Kwa United Kingdom watu wanalipwa mpaka £10 Kwa saa Kwa hizo mishe, so Kwa wiki mtu kupata £500 ni kawaida.
Wanapata zaidi ya hizo boss
Minimum wages tu ni £11:44
Ukiwa na cheti unapata hela nzuri sana
Huyo dada naona alikuwa anarekodi tu na kujifanya mvumilivu ila huwa wanakula makofi ya kutosha tu wakifanya hivyo
 
Hako dawa yake ndogo.nakamwagia maji ya sabuni kwenye sakafu alafu nakasukumiza.wakija kuujiza vp.nawaambia nilikuwa napiga definitely bibi capital akaanguka bahati mbaya
 
Tabia hizo Kwa wazee au watu waliopoteza kumbukumbu ni kawaida sana. Mm nilikuwa namsaidia babu yangu aliyeparalize wakati mwingine ukiwa umembeba anakufinya Sema unakausha na kuwa humble tu.
 
Kwamba mtoto wako wa miaka mitano akufanyie hivi utamuacha salama?
Watu wanasomea kabisa kuwatunza , wazee baadhi wanakuwa na akili za kitoto hata kujisaidia bila ya kujua . Tena bora mtoto maana kadri anavykua akili inakaa sawa ila wazee ndio wanazidi kuwehuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…