ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Na wanasiasa watume familia na watoto wao kwenda kupigana vita kwasababu wakati wa utulivu wao ndo wanufaika wa kuu wa hizo malighafi.Vip nchi yako ikivamiwa kijeshi kwa ajili ya kuchukuliwa maligafi zenu ikiwemo dhahabu,pia wananchi na familia zenu mkiwa mnachukuliwa mateka na mnauliwa mfululizo na hilo jeshi ambalo limewavamia.
Je utakubaliana na hyo hali? Utakubali jeshi lenu lisijibu chochote?
Siyo kila vita ina maslahi kisiasa mkuu. Wewe ni Dr gani ambaye umeshindwa kujielimisha japo kwa suala dogo kama hili?