Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

Vip nchi yako ikivamiwa kijeshi kwa ajili ya kuchukuliwa maligafi zenu ikiwemo dhahabu,pia wananchi na familia zenu mkiwa mnachukuliwa mateka na mnauliwa mfululizo na hilo jeshi ambalo limewavamia.

Je utakubaliana na hyo hali? Utakubali jeshi lenu lisijibu chochote?

Siyo kila vita ina maslahi kisiasa mkuu. Wewe ni Dr gani ambaye umeshindwa kujielimisha japo kwa suala dogo kama hili?
Kote mbali, Vita ya idd Amini, majeshi yasinge pambana idd angetuchezeaje?
 
Jeshi ni zaidi, ya kwenda vitani, internet technology unayoitumia, ilianzia jeshini USA,
Ukitaka kujua kazi, ya, jeshi, usiangalie ujinga wa jwtz,
Jeshi LA China Lina kiwanda kikubwa cha kutengeneza siraha, mapato kibao yanaingia, kuna vijana wa IT wanafanya na Ku design drones za kutembea chini ya maji,acha upuuzi wa jwtz hata kilimo kinawshinda,
Jeshi la China limetengeneza visiwa artificial,
Ujinga upo bongo tu, wanaishia kula bia,kujenga vifrem kadhaa, na vinyumba
Ujinga wa JWTZ wakati ndiyo jeshi la sita kwa ubora duniani? Heshimu jeshi letu mkuu 😁😁😁
 
Back
Top Bottom