Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

Na wanasiasa watume familia na watoto wao kwenda kupigana vita kwasababu wakati wa utulivu wao ndo wanufaika wa kuu wa hizo malighafi.
 
Jeshi ni zaidi, ya kwenda vitani, internet technology unayoitumia, ilianzia jeshini USA,
Ukitaka kujua kazi, ya, jeshi, usiangalie ujinga wa jwtz,
Jeshi LA China Lina kiwanda kikubwa cha kutengeneza siraha, mapato kibao yanaingia, kuna vijana wa IT wanafanya na Ku design drones za kutembea chini ya maji,acha upuuzi wa jwtz hata kilimo kinawshinda,
Jeshi la China limetengeneza visiwa artificial,
Ujinga upo bongo tu, wanaishia kula bia,kujenga vifrem kadhaa, na vinyumba
 
Ingia google! Kila kitu kipo wazi. Jamaa ni billionaire
 
Hiyo ndiyo dunia. hayo mambo lazima yawepo ili dunia iendelee. Kufa na kuishi ni mambo yaliyopo.
 
Ingia google! Kila kitu kipo wazi. Jamaa ni billionaire
Jamaa pesa anazo lakini sio kwa kiwango ulicho kitaja ,alafu hapa duniani hasa hii ya sasa hakuna mwanasiasa masikini ,Hata Netanyau ana tuhuma kibao za ufisadi wa mamilioni ya $ sema mgogoro huu umeyapoza kwa muda.
 
Kila MTU na Kazi yake, nani atawalinda mkivamiwa
Kila MTU Ni muhimu kwa ajili ya mwingine
 
Ni kama kule mtwara, pwani hapo wale waasi walivyokua wanachinja raia.

Njia ya kigoma majambazi walivyokua wanateka, kupora na kuua watu. Na sio wanasiasa wote wanakula goodtime kama walivyo wengi huku Afrika.

Wanajeshi wanasaidia sana, msiwabeze.
 
Jamaa pesa anazo lakini sio kwa kiwango ulicho kitaja ,alafu hapa duniani hasa hii ya sasa hakuna mwanasiasa masikini ,Hata Netanyau ana tuhuma kibao za ufisadi wa mamilioni ya $ sema mgogoro huu umeyapoza kwa muda.
Maneno mengi ya nini?! Ingia google,
search Haniyeh networth utaona data zote.
Jamaa ni billionaire.
Anakula maisha huku akiwahimiza vijana kwenda kujitoa mhanga vitani.
 
Hivi hao jamaa huwa wanampigania rais, au maslahi ya nchi na raia.....
 
Maneno mengi ya nini?! Ingia google,
search Haniyeh networth utaona data zote.
Jamaa ni billionaire.
Anakula maisha huku akiwahimiza vijana kwenda kujitoa mhanga vitani.
Mkuu kwani hiyo Google unaitumia peke yako? Au unataka kutuona mandezi hapa.

Kwani kuna sehemu nilipo bisha kuwa sio tajiri?

Juzi jarida la fobrs lili toa tathimini ya utajiri wa viongozi wa kisiasa wa Hamas na lili gundua kuwa viongozi wa kisiasa wa hamas wote kwa pamoja wana miliki mali zenye thamani ya$1.2 billion sasa ww hizo habari za $4 bilion tena kwa mtu mmoja umezitoa wapi?
Au unadhani kumiliki $4bilion ni rahisi kama kujampa?

Alafu kingine nime kuambia kuwa wanasiasa wote duniani ni watu wenye huruka sawa.

Hao akina Haniyer na Netanyau wote ni wale wale kwa sababu wote wawili hakuna hata mmoja aliyeko mstari wa mbele kupigana vita wote wapo nyumbani kwao na familia zao, tofauti yao kuwa mmoja anaongoza nchi na mwingine anaongoza kikundi cha wapiganaji.

Huko Ukraine wakati kila siku maelfu ya wanajeshi wa pande zote wana uawa Putin na Zerensik wapo majumbani mwao na familia zao wana kunywa,kula,kulala vizuri

Wakati maelfu ya wana jeshi wa Marekani wanauawa nchi Iraq na Afghanistan Bush yeye alikuwa Woshingiton akila kuku kwa mrija na familia yake.
 
'Hamas's top 3 leaders are worth staggering $11 billion' - Times of India 'Hamas's top 3 leaders are worth staggering $11 billion' - Times of India
 
Askari pesa
 
Upo sahihi ila hii kuwatuma vitani ili wauliwe kisa Vita Ambazo zimeanzishwa na wanasiasa naipinga.
 
Hata Forbes wenyewe Ni waongo waongo,R. Mengi aliwahi kuwakataa na takwimu zao.Akawaambia Kama umri wangu tu hamuujui kwa usahihi,mali zangu mtazijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…